Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
- Thread starter
-
- #101
Una ruhusiwa na wewe kuwashauri waache. Uwanja wako brazaa.Mi ningefurahi kama ungewashauri pia wanaume waache kununua hao makahaba sijui malaya. Bidhaa kama hainunuliki huwezi kuendelea kuuza. balancesha coz huo ukahaba hawafanyi pekeyako wanafanya na wanaume. Na waache kutongoza ovyo coz huyo unaemwita kahaba wewe ndo unaeanza kumfuata.
Hahaja asante kwa kuisoma ma kuielewa na kuiunga hoja.Bila kupepesa macho, naunga hoja mkono
Asante kwa kusoma.Okay okay
DuuuuhHapo kwenye Maharage ya mbeya ndo bac tena.
Sio mchezooo aseee.hiyo ya mwisho nahisi imeshika hatamu sana kipindi hiki..
Lazimaa.Wengi imewagusa.
Aseeee
hao indirect prostitution wako wengi sana as kipindi hiki cha ukata wa fedha. Wengi wao huwa ni kama washikaji flan hv lakin ikiwa ukimtangazia dau anakubali. Nina mfano wa dada mmoja yuko benk hapo karibia na moroko nlshawah kula kwa namna hiyo alikua mshkaji tu koz nlsoma naye chuo kimoja lakin juz kati nlvyomtangazia dau akakubali mwenywe na cha kushangaza ana jamaa yake kabisa tena
asante mkuuu kwa hilo mtoa uzi amekurupukaUkisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa
Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?
Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa
Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?
Title inasema aina 5 za ukahaba,ukahaba unaweza ukawa wa kutaka pesa au starehe tuUkisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa
Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?