Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
- Thread starter
-
- #81
Yes brazaaa...Ehehehe hiyo INDIRECT iogope sana maana utatoa mapesa mengi kuliko hata kama ungeenda tu kununua pale Jolly Club!Anaanza kidogo kidogo na vocha hadi anafikia kumnunulia friji na matengenezo ya gari lake
Ngachoka mie na hawa watu
Aiseee.Hapo ndio utajua kwamba, asilimia kubwa ya mabinti wa sasa ni indirect protistutor
Nasisi baba zaoo. Na sio wote wahuni.lakini ndio mama zetu hawa.....!!!
Ni kweli wote sio wahuni, lakini kunakutosholezeana....Nasisi baba zaoo. Na sio wote wahuni.
Heeee mtafiti binafsi umetuletea aina ya makahaba nipe jina la kitabu ulichosoma nikipitie nami kwa undani....Asante kwa kusomaa.
lakini ndio mama zetu hawa.....!!!
Ee bhana nimeipenda sana iyo description Mkuu, make ninakoishi kuna indirect prostitution wakutosha .....lisipite gari ama arufu ya mkwanja wote wanalegea kwa jina la tamaa.
Nimesoma vingi sasa naanza kuandika vyangu...heeee mtafiti binafsi umetuletea aina ya makahaba nipe jina la kitabu ulichosoma nikipitie nami kwa undani....
Duuuh. Sio mchezo.Ee bhana nimeipenda sana iyo description Mkuu, make ninakoishi kuna indirect prostitution wakutosha .....lisipite gari ama arufu ya mkwanja wote wanalegea kwa jina la tamaa.
Pulizo limepasuka sikukuu imeishaaa..Ha haaaa ukisikia paaaaa ujue.........!
Kuna ukweli hapa.Mm naona kuna malaya wa aina mbili
1.malaya wa kutoa mzingo kwa sababu anataka ela kwa muhusika
2.malaya anayetoa mzingo kwa starehe zake.
Malaya anayetoa mzingo kwasababu ya ela au mali,huyu hata akiolewa lazima ataendelea kutoa mzingo coz umalaya for somethings hawa ndio wake za watu wameolewa lakin wanatoa mzingo kwa watu wengine, mfano kazini unakuta mkeo wa mtu anajipeleka kwa maboss ili hapewe cheo,maboss wanakula wake za watu sana.
Lakin huyu malaya wa kutoa mzingo kwa starehe anawezekano mkubwa wa kutulia anapoholewa.
Bora huyu wa starehe anaweza tulia lakin huyu wa after somethings kutulia ngumu maboss watakula mpka basi
Hatariiii iyooo... wanachuo nao ni wazee wa offers. Wanajiuza ki classic.Umesahau wale wanachuo, hawaiti kujiuza wanaita KUDANGA... wanajipodoa jioni wanaenda hoteli flan flan classic wanaagiza wine au juice akijipendekeza mtu ameliwa...
Asante kwa ushauri na mawazo memaa.Ni somo zuri sana,ubarikiwe. Ungetoa na,mbinu za kuepukana,na hizo tabia za ukahaba.
Mi naona njia pekee ni kumgeukia Mungu ndo mwenye kutuwezesha kushinda ukahaba.