Aina ipi ya sabufa ni nzuri

Bado tuu hujarudi home mkuu?
 
Unajiandaa kwenda chuo first year eeh...

Teh,teh,teeee! Kwi,kwiiiiiii! Kuna hostel moja huku maeneo ya St. Agustine Mwanza, ukifika hapa kuanzia saa 12 jioni ni hatari tupu!
 
Sabufa<sub woofer> nzuri ambayo ukifungulia lazima majirani waende kwa mjumbe ni Sony PMPO 30,000WATTS

Heh heh au hiyo sabufa ndio anatumia jirani yangu dereva wa bajaj,akiweka ile taarabu ya Simba wimbo ulioimbwa na Msagasumu inakuwa kama kuna harusi za uswazi,na ukimsema kidogo tu basi utasikia kaweka Mashauzi''tugawane ustaarabu''
 

hometheater itabaki kuwa home theater hata kama ina atachment ya sub. ukweli ni kwamba home theater hazina bass ya ukweli kama subs zilivyo tatizo la hizi hmthtr ukuaji wa bass yake unategemea jindubunavyoongeza sauti, nyingi amplifier yake haujagawanywa kama ilivyo subs, yaaani hazina utifauti saaana na redio ya kawaida inayotumia ST ktk amplifier ambazo speaker zake zinakuwa ni za bass reflex au accoustic.
ila sub amplifier yake imegawanywa upande wa low frequencies unajitegemea na upande wa high frequency unajitegemea kwa lugha nyingine ni bi amplified na hizi ni kwa zile ambazo zina satelites/ mid spekers,ila kuna subs ambazo ni mono amplifier zinakuwa na low freq tu yaani zinatoa bass tu, mfano bic america f12, polk audio pro dsw 1000 etc. more questions ask.
 

unajua rising,sean piano, kodjetec,na aina nyingine za sub za kichina zinatumia platfom chip za amplifier za aina moja ila wanaongeza vitu vichache na mwonekano tu,wanachofanya ni kuja kufanya assemb, na kuzibrand majina tofauti tu. hii ni tofauti na geepers yeye anadesine mwenyewe na kuasembo,hata sub cabinet yake ni closed air mode wakati za mchina ni open air mode, na kiutaalam closed mode ni nzuri kwa room kwa sababu zinakuwa na deep bass.
 
hala hala usikutane na ya kichina usije leta majanga ya kuunguza nyumba
 
Babu kizee nikutakie masomo mema huko uendako chuo cha nyuki tabora.Nunua SABUFA hata ya mchina utatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…