Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

ahahaaaa ngoja nisome vibamia vyenye govinda vikitoa vigezo vyao
 
Kweli kabisa mumy
 
Teh teh Nathaniel ujumbe utakuwa unemfikia.. Kosa lake kuhajusema huku sindiyoo?? Lbd anatoa tahadhari lbd wapi wasio navigezo anavyovitaka wame m pm
 
wewe ni ke? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Majina ya Jovita mara nyingi huwa ni ya kiume

Haya bhana Dada jovitha nakutaka radhi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] wewe wapi kuna jovitha mwanaume,,????!!!!!!


!!!!!!!!!!! Ukiniambia Jovan... Jovini sw lkn me anaitwa jovitha?????
 
Mkuuu kuchagua mwenza haihusiani na uumbaji..hata wewe najua unavigezo vyako
Mkuu, wamenibadilishia mada kua nimekashfu uumbaji.

Hakuna mahala nimekashfu uumbaji wa mungu kama wanavyodai, kuchangua mwenza hakuhusiani na uumbaji.

Kila mtu ana uhuru wa kusema anavutiwa na mwanaume au mwanamke wa aina gani.

Hayo ya uumbaji sijyi yametoka wapi.
 
Wewe mahondaw wangu... Mungu amaekupendelea kitu kitu/Kila kona... Macho, sura, lips, kifua, kiuno, hips, nyuma ndiyo amazing... And you have a very sweet and soft touch... Macho ndiyo daaah.... Na naniliuu... Woyooooo

Am lucky to have you...
haya mambo siyakutangaza mkuu...huo si ustaarabu...ni vyema kumsifia mpenzi wako ila si la haja kutaja mengine..jiangalie bwana..
 
Mwanamke yoyote yule tafadhali asije akathubutu kabsaaa au kujaribu kukaa mbali n mm.... Atanichukiza saaana n atafanya niwachukie wanawake, dhambi ambayo nimepanga kutokuja kuifanya dunian mpk nakufa!
 

Mmmh...bado nipo njiapanda mkuu

Mfano watu wamejificha mvua Kituoni halafu anakuja mtu anapaki gari kwa lengo la kutoa lift...halafu anasema, waingie watu wembamba tuu!

Je atakuwa ametoa taswira gani kwa watu waliopo kituoni?
- Amewapendelea watu wembamba
- Kila mtu ana uhuru wa kusema anavyojisikia
- Amewatusi watu wanene
- Gari ni lake, kasema anavyojisikia
 
mama yako ni flat au chogo?dada zako nao vepeee!!wenye mizigo nyuma wapo kibao kijiweni.jitwalie kiulain
Nimerusha jiwe gizani nasikia vilio tu, flat screen mnaumia tu kwa maumivu, pole na kaa mbali na mimi.
 
Kw mtazamo wng me huwa nahc humu Jf watu wanafanya jokes zaidi ili kuchangamsha kijiwe, maana kuna story na comments ngumu ambazo ukizitafakari nying hazina uhalisia...so niwaombe tuchukuliane wadau!
Ktk comments zote nilizopitia hii [emoji115][emoji115][emoji115] ndio imejibu uzi wote wa jamaa so haina haja ya kuchukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…