Aina hii ya uvaaji unaitwaje? Miaka ipi ulishamiri sana?

sky walker

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,160
824
33171942_2070409863236933_1428132082537725952_n.jpg
 
Enzi ya ngengemkeni mito mingi na mazoea. Penzi kitovu cha uzembe. Pombe ya ulanzi ikisababisha makaratasi ya kula kuungua moto
 
Bugaloo juu pima chini kadiria piga na raizon yako ngazi tatu kichwani bonge la afro yaani hapo lazima mtaani wakujue
 
Back
Top Bottom