fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,668
Una ingia kwenye aina zote 16?Sifa zote izo ninazo,sasa sijui na mimi kundi Gani..!?[nipe Jibu]
Sababu maamuzi na kujiendesha kwangu, hutegemea Eneo na Hali husika.
Mimi sio BoYa mpaka niruhusu mtu mwingine anitafsiri Anavyohisi yeye.
Kwa ufupi Mimi huwa chochote nitakacho kuwa.Kwenye Haiba
Uintrovet na uextrovet ni kama scale inawezekana ukawa katikati ya scale hivyo ni ngumu kujijua exactly ni introvet au extrovet