Aina 16 za watu duniani

Aina 16 za watu duniani

Asante mleta mada . Nimeongeza kitu ktk ile knowledge yangu kidogo ya Myer & Briggs pamoja na Carl Jung
 
Mzee baba yangu atakuwa kwenye commanders !
 
Hii kitu nzuri sana. Tatizo umekosa mifano ya kitanzania .
Naamini mpaka hapo utakuwa ushajua kundi langu
 
Mm nina fall kwenye kundi la Introvert kipengele namba a cha Architect. Niko very Cool, shy, napenda kuishi mwenyewe na hapa nilipo naishi mwenyewe hata wazazi hawajui naishi wap ...
Mkuu.
Kwenye hiyo kundi la kwanza tukienda upande wa mambo ya kiroho hao wapo kundi Namba 1. Ambao wamezaliwa kwenye tarehe 1,10,&19. Sifa za watu walio zaliwa tarehe hizo hapo zina shahabiana na watu wa kundi la Architect kwa kiasi kikubwa. Hapa twaweza ona Mambo ya kiroho/ unajimu unaenda sambamba na Sayansi/Psychology.
Nahitimisha kusema yawezekana watu kwenye kundi hilo la kwanza wakawa wamezaliwa tarehe hizo hapo juu..
Mm nipo Tarehe 10.
Cc. Palantir
 
Mm nina fall kwenye kundi la Introvert kipengele namba a cha Architect. Niko very Cool, shy, napenda kuishi mwenyewe na hapa nilipo naishi mwenyewe hata wazazi hawajui naishi wap ..
Cc. Palantir[/B]
Ingawa nimeona nina elements za Architects lakini 98% mimi ni Logician, kitu kisicho na Logic kwangu kunifanya nikifanye/kifatilia hilo sahau!.
Unaweza kwenda na mie sehemu kufanya ishu na nikabase na kile kilichotupeleka nisifatilie vitu vingine kabisa, hata kutembea tunaweza tembea lakini nitaconcetrate na barabara au vile vyenye umuhimu, mambo ya nani napishana nae huwa siyajali.
Wanaonizunguka huwa ninawapa msemo naoupenda zaidi There always is Emergence and Importance (kuna jambo la Dharula na la Muhimu) ukitaka nipata kukusaidia juwa kuzitofautisha!.
Mahusiano kwangu sio kitu cha lazima sana unless necessity calls but im very caring if my partner understand me the way i am!. Kutokana na hilo huwa sina haja ya kukaa kumchunguza saana mtu nayekuwa nae mahusiano.
Bday yangu ni No. 4.
 
Kwakweli somo hili na lile la Tarehe ya kuzaliwa vina landana mno.. Napenda jinsi nilivyo kwakweli nina kamsemo kangu ndio nakatumia kama defence mechanism kanasema "Nimezaliwa pekee yangu nitaishi pekee angu" huo msemo umenisaidia sana upande wa mahusiano, Binti akinizingua nasema maneno hayo rohoni namsahau kabisa. Sijawh kua na stress za mapenz mimi.
 
Sifa zote izo ninazo,sasa sijui na mimi kundi Gani..!?[nipe Jibu]

Sababu maamuzi na kujiendesha kwangu, hutegemea Eneo na Hali husika.

Mimi sio BoYa mpaka niruhusu mtu mwingine anitafsiri Anavyohisi yeye.

Kwa ufupi Mimi huwa chochote nitakacho kuwa.Kwenye Haiba
 
Back
Top Bottom