iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,242
- 7,825
Mimba changa ya Mbowe inamhangaisha bidada wawatu, Mataga mnunulieni mwenzenu ndimu, kachumbari na pemba ili kupoza mihemko ya huyu pasikali..Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.