Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Hata Lissu nae muongo muongo Sana, alijitoboa na sindano halafu akasingizia kapigwa risasi. Si wakuwaamini kabisaaaaa.
 
Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo.

Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama nyumbani.

Jambo ambalo nitamkumbuka Hayati John Magufuli ni uthubutu wake haijalishi hicho kitu kitakuwa na athari kiasi gani lakini aliamini hayo yote yanawezekana kurekebishika, natamani na Mama Rais Samia Suluhu Hassan awe na uthubutu.

tulia, cha msingi kula mpunga uliopewa na CCM mama - wenzako wakipata uraji hutulia acha kubwabwaja usije ukajichanganya maneno maana kesho yako ya kisiasa huijui bado.
 
Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Mama yako ndie alemnyonya ub*** kwa ustadi mkubwa akafika mshindo wa sayari nyingine wote kwa pamoja wakadindoka chini huku mb***ro ikiwa bado kunako ikitema cheche za kizungu!
 
Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Headline na ulicho comment haviendani au Mbowe ana kupiga miti kiasi huwezi msahau
 
Chadema walichemka sana kushiriki kwenye ule uhuni ulioitwa uchaguzi wa mwaka 2019 (Serikali za Mitaa) na ule wa 2020 (uchaguzi mkuu).

Wangesusua kama tulivyofanya wapiga kura wengi, nadhani wasingepata wabunge wasio jitambua, kama huyu Aida Kenani.
Kweli mkuu,hivi kwanza hao wakurugenzi si walishazuiwa na mahakama kusimamia uchaguzi? Na kesi yenyewe si ilipelekwa mahakamani na wapinzani wenyewe? Sasa ikawaje tena wapinzani hao hao wakaingia kwenye uchaguzi unaosimamiwa na wasimamizi haramu? Ni utamu wa posho? Au tamaa gani?
 
Back
Top Bottom