Aida Khenani: Nilipewa laana nyumbani kisa CHADEMA. Nitamkumbuka Hayati Magufuli kwa uthubutu wake

Rais Samia asije akamwamini Mbowe ni muongo muongo sana, aliangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya alafu akalitangazia taifa eti amepigwa na wasiojulikana.
Mimba changa ya Mbowe inamhangaisha bidada wawatu, Mataga mnunulieni mwenzenu ndimu, kachumbari na pemba ili kupoza mihemko ya huyu pasikali..
 
Pia marehemu dikiteta magufuli alikuwa na uthubutu wa kuvunja sheria na katiba kwa kadiri alivyojisikia mwenyewe.
 
Yakuwa wiki nne baada ya kukuzika wewe hivyo nasikitika kukutaarifu kuwa hutoweza kuyashuhudia Wala kuhudhuria!
Wasalimie wafu wenzako huko kuzimu!
Tumia akili ...nyie mliandika mpaka kwenye magazeti yenu...ya TANZANITE NA FAHARI YETU..kua Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... MATAGA bhana
 
Kwakweli mnanahangaika na mwamba, mnasahau kumuombea mtupoli ,tulishafukia anachezea vitasa tu mda wote nginjanginja mpaka JEHANAMU ... DADEKI

Mbowe yupo ,alikuepo na ataendelea kuwepo..✌🏽
Nyie na matoilet paper yenu ya Fahari yetu na Tanzanite mlituandikia kua amefia huko Dubai..
Yaani MATAGA bhana
 
Reply za wanachadema zinaudhi mnoo unaweza waza ivi aliye andika ana ubongo au bonge la kamasi kichwani
 
Tumia akili ...nyie mliandika mpaka kwenye magazeti yenu...ya TANZANITE NA FAHARI YETU..kua Mh.Mbowe amefia Dubai kwa ugonjwa wa Covid-19... MATAGA bhana
Wa kutumia akili ni Nani Kati yeti? Hebu Rudi kwenye comment yako ya kwanza uone akili yako isivyokuwa na ushirikiano na wewe! Usichokijua, usikishadadie! Umegeuka mpambe wa CDM ghafla huku ukiomba Lissu afe! Pathetic!
 
Daah mkuu kutumia akili ni ngumu sana ..epuka kutumia ubongo maana ubongo ni hisia tu
 
Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo.

Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama nyumbani.

Jambo ambalo nitamkumbuka Hayati John Magufuli ni uthubutu wake haijalishi hicho kitu kitakuwa na athari kiasi gani lakini aliamini hayo yote yanawezekana kurekebishika, natamani na Mama Rais Samia Suluhu Hassan awe na uthubutu.

Uthubutu wa hayati Magufuli ni chachu ya maendeleo
 
Huyu, wamuache kama walivyomuacha!

Pia, ana haki ya kumshukuru MWENDAZAKE, kwani ni yeye ndiye aliyeamua apate huo Ubunge. Kwa vyovyote vile, alikuwa hana ubavu wa kumshinda Kessy.
Kumshinda kwa sanduku la kura au kumsinda kwa kutumia tume?
 
Huyu, wamuache kama walivyomuacha!

Pia, ana haki ya kumshukuru MWENDAZAKE, kwani ni yeye ndiye aliyeamua apate huo Ubunge. Kwa vyovyote vile, alikuwa hana ubavu wa kumshinda Kessy.
Kwa uchaguzi huru na wa haki Kessy asingetoboa vile vile
 
Back
Top Bottom