mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
riz 1 baba yake akiondoka madarakani ndio anakufa kisiasa tusubiri tuone
Mkuu ushatandika mauchokozi nn?? Maana unaropokwa tu
Kwa hiyo watu watakuja?Mbona kwenye jukwaa hata wageni hawajapanda, sio wakati wa maandalizi ya mkutano hapa?
Hizo ni picha za maandalizi ya mkutano wa kata ndio maana Jukwaani viti viko wazi.
He!lo, ally khana. Naomba nisikitike kwa ajili yako kwa upeo mdogo wa akili yako. Hujui ulitendalo. Kwanza -unapaswa ujue kuwa kuwepo kwa Chadema Chalinze ndo mwanzo wa kuboromoka kwa ccm. Ingekua heri kwa ccm kama kusingekuw na uchaguzi huu mdogo. Watu wanakuwa huru kwa kuijua KWELI. NA HUU NI MUDA MUAFAKA KWA WANACHALINZE KUIJUA KWELI. si muda mrefu ccm chalinze itabaki matobomatobo. Chezea mageuzi wewe.
Tena sikushangai kwa sanabu, aklili yako imetiwa kama sio utaji basi kitambaa ili isiione kweli. Kila jambo na wakati wake chini ya Jua. Kwako wewe huu ni wakati wa kuikataa Kweli; Lakini siku inakuja na siku ipo, WATANZANIA WOTE HATA WATU KAMA WEWE, WATAJUA UKWELI KUWA ccm nk wezi, wauwaji, majangili, nk. MUNGU akusaidie.
DEMOKRASIA ipi unayoongelea wewe?,ya kutumia polisi na tume ya uchaguzi pamoja na kununua shahada za wap[iga kura kwa kutumia mgongo wa permbejeo kwa wakulima?Vp USA Bush mtoto na Bush mzee? Kenya je? Tunachoangalia hapa ni je amechaguliwa kidemokrasia?
Mnafiki unamjua tu hizi picha sio za Chalinze .......Fusso haipo ....
Nyomi la kufa mtu.
Fusso haipo Chalinze, sasa tuko Lugoba pale mwana mfalme alipo kata kuhutubia eti jua ni k l na hawezi kukaa juani ......Mkuu unafiki mmezoea sana mpaka na hili pia unataka kulitengenezea unafiki ha ha ha kazi kweli kweli