Pumbaf.uuu!
Unatuletea picha za maandalizi ya mkutano,huu ujinga wa kizamani hata UHURU jana walikuja na sinema kama hii front page watu wakabaki wanacheka tuu...
Kajipange upya.
Habari ya siku?Halafu misukule inajidanganya inaweza kuchukuwa nchi. Mambo mengine ni vichekesho tu.
Mohamedi Mtoi, Ben Saanane, Yericko Nyerere, GODBLESS Lema, Dr.W.Slaa - Mpooooo?
Poleni sana, ndoto zenu mmezizima wenyewe kwa kukiondoa kichwa kilichoinyanyuwa chadema, Zitto Zuberi Kabwe. Hivi mlijiona tayari mmeshakuwa? mkaamuwa kumfukuza mtu aliyeipa umaarufu chadema.
Maandalizi gani mkuu?? Watu wanamwaga sera hapo...ajabu hamna wana-chalinze hata kumi tu hapo...walio wengi ni misukule ya Lema...toka kuleeeeeeeeeee
hujuwi ulitendalo muuombe mungu akupe ufaham wa kujua na kutambua ya maana sawa zuzu
sasa kama kurugenzi ya habari bado hawajatoa wewe nini kilichokuwasha au ndio uzuzu!Kurugenzi ya Habari njoo wasaidie hawa wakataa ukweli
sasa kama kurugenzi ya habari bado hawajatoa wewe nini kilichokuwasha au ndio uzuzu!
Akajipange huyu zuuzu.Pumbaf.uuu!
Unatuletea picha za maandalizi ya mkutano,huu ujinga wa kizamani hata UHURU jana walikuja na sinema kama hii front page watu wakabaki wanacheka tuu...
Kajipange upya.
Akajipange huyu zuuzu.
Ngoja kidogo, uandaliwe dozi kwa bomba.Tulie hivyo hivyo sindano ikuingie at least upunguze maumivu
Halafu misukule inajidanganya inaweza kuchukuwa nchi. Mambo mengine ni vichekesho tu.
Mohamedi Mtoi, Ben Saanane, Yericko Nyerere, GODBLESS Lema, Dr.W.Slaa - Mpooooo?
Poleni sana, ndoto zenu mmezizima wenyewe kwa kukiondoa kichwa kilichoinyanyuwa chadema, Zitto Zuberi Kabwe. Hivi mlijiona tayari mmeshakuwa? mkaamuwa kumfukuza mtu aliyeipa umaarufu chadema.
The Tanganyika Kingdom