Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

Dunia nzima inajua huko ndiko kwao alikuwa mbunge na waziri na sasa ndio Rais wa Tanzania, JK,lakini unajua hizo picha ni maeneo ya kwao kikwete?
Mnachokipigania ni ushindi kwa manufaa ya viongozi, na si maslahi ya wananchi ambao ni wapiga kura,
Sasa nakuuliza unajua sehemu hiyo yenye shida ya maji ni eneo mojawapo ndani ya Jimbo la Chalinze ambapo ni kwao kikwete?

Kikwete ndiye alipeleka maji ya bomba kwa mara ya kwanza chalinze, unaijuwa ilivyokuwa wakati wa awamu zote zilizopita?

Unaona watoto wanavyochimba hapo? kabla ya Kikwete uliyaona hayo?
 
Molemo ndio kampeni meneja wa Chadema Chalinze, sijui hawa jamaa wanatumia vigezo gani kupendekeza wawakilishi wao.


Kigezo chao kikubwa no ungo, kila anaefanya kazi nzuri ya uongo kwenye kile kiwanda chao cha uongo pale Ufipa, ndio anaethaminiwa, unafikiri wana kigezo kipi zaidi ya hicho?
Molemo kafunguliwa nyuzi humu kuumbuliwa uongo wake na MwanaDiwani hatukumuona huyo Molemo hata kufanya kwiii.

Chalinze vipi, mzee wa kiwanda Molemo?
 
Last edited by a moderator:
Siku zote mtaji wa ccm ktk uchaguzi ni hali ya kutoelewa mambo walio nayo baadhi ya watu. Chadema ipo Chalinze kuleta NURU inayohitajika kwa ukombozi wa Nchi hii. Ninaujasiri kusema kuwa MUNGU yuko Kazini kwa kupitia Chadema. Hatachelewa wala hatawahi. Atakuja kwa wakati wake. Songeni mbele Makamanda.
 
kushabikia watoto kurithi majimbo ya baba zao ni KUJIDHALILISHA MNO !

Ulitaka watoto warithi nini? kama si kazi za baba zao?

Pale kuna uchaguzi na wana Chalinze watampa wamuoane anafaa au sio?

Kuna chama fulani watu wanarithishana na wakwe zao Uenyekiti au hujui hilo? na wanapeana ubunge kwa kuwa ni watoto, wake na mahawara, au hujui hilo? wagombee na wao tuone, wasingoje viti vya vya kunyanyua miguu.
 
He!lo, ally khana. Naomba nisikitike kwa ajili yako kwa upeo mdogo wa akili yako. Hujui ulitendalo. Kwanza -unapaswa ujue kuwa kuwepo kwa Chadema Chalinze ndo mwanzo wa kuboromoka kwa ccm. Ingekua heri kwa ccm kama kusingekuw na uchaguzi huu mdogo. Watu wanakuwa huru kwa kuijua KWELI. NA HUU NI MUDA MUAFAKA KWA WANACHALINZE KUIJUA KWELI. si muda mrefu ccm chalinze itabaki matobomatobo. Chezea mageuzi wewe.

Tena sikushangai kwa sanabu, aklili yako imetiwa kama sio utaji basi kitambaa ili isiione kweli. Kila jambo na wakati wake chini ya Jua. Kwako wewe huu ni wakati wa kuikataa Kweli; Lakini siku inakuja na siku ipo, WATANZANIA WOTE HATA WATU KAMA WEWE, WATAJUA UKWELI KUWA ccm nk wezi, wauwaji, majangili, nk. MUNGU akusaidie.

Wezi ni Chadema bwana Ruzuku yote anachukua Mbowe na mkewe wewe unapata nini Hizo Fusso mbili zimenunuliwa milioni mia nne ni bei ya wapi ukihoji wanakuzito ila kama wewe ni Mtoto wa Mbowe hongera
 
Ulitaka watoto warithi nini? kama si kazi za baba zao?

Pale kuna uchaguzi na wana Chalinze watampa wamuoane anafaa au sio?

Kuna chama fulani watu wanarithishana na wakwe zao Uenyekiti au hujui hilo? na wanapeana ubunge kwa kuwa ni watoto, wake na mahawara, au hujui hilo? wagombee na wao tuone, wasingoje viti vya vya kunyanyua miguu.

umeandika KWA KIWANGO CHA CHINI SANA ! HAKUNA POINT HATA MOJA , ZAIDI NIMEONA MAPOVU LUKUKI !
 
Mkuu unafiki mmezoea sana mpaka na hili pia unataka kulitengenezea unafiki ha ha ha kazi kweli kweli

Kwa watanzania msiojua hasara ya mfumo tawala kifamilia jifunzeni kutoka libya na yaliyomkuta ghadaffi na familia yake
 
Kwakweli hiki chama kitazikwa chalinze.
 
Hivi chadema ipo? Sisi huku tuliisha isahau.
Tangu Wassira aseme hiki chama kitakufa mwelekeo ni huo.
 
Halafu misukule inajidanganya inaweza kuchukuwa nchi. Mambo mengine ni vichekesho tu.
Mohamedi Mtoi, Ben Saanane, Yericko Nyerere, GODBLESS Lema, Dr.W.Slaa - Mpooooo?

Poleni sana, ndoto zenu mmezizima wenyewe kwa kukiondoa kichwa kilichoinyanyuwa chadema, Zitto Zuberi Kabwe. Hivi mlijiona tayari mmeshakuwa? mkaamuwa kumfukuza mtu aliyeipa umaarufu chadema.

wana tatizo kibwa la kudhani arusha tena mjini na mbeya tena mjini ndiyo inayoweza kuwapa nchi mwaka 2015,lakini kama wana akili sawa sawa meseji ya chopa tatu kata tatu na ile ya kalenga kushindwa kupata angalau nusu ya kura na kipigo kinachokuja cha chalenze itakuwa funzo lakini kubwa zaidi kura ya maoni ya kupitisha katiba ya nchi,usanii wao umebainika mapema nchii hii mungu bado anaipenda
 
umeandika KWA KIWANGO CHA CHINI SANA ! HAKUNA POINT HATA MOJA , ZAIDI NIMEONA MAPOVU LUKUKI !

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe ndiyo umeandika cha maana kweli kweli, JF great tinker namba 1. Hongera zako.
 
Kwa watanzania msiojua hasara ya mfumo tawala kifamilia jifunzeni kutoka libya na yaliyomkuta ghadaffi na familia yake

Vp USA Bush mtoto na Bush mzee? Kenya je? Tunachoangalia hapa ni je amechaguliwa kidemokrasia?
 
Mtaendelea kauli wa ki....bo....ga hivo hivo mkiendelea kuchagua mafisadi
 
kushabikia watoto kurithi majimbo ya baba zao ni KUJIDHALILISHA MNO !

2.jpg
 
Back
Top Bottom