Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

Ally Kanah

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
1,479
Reaction score
388
ImageUploadedByJamiiForums1395574779.619237.jpg
 
kanywe gongo yako usubirie kifo, wewe hujui chochote kinachoendele na kinachopaswa kufanyika katika taifa hili,wewe unadhani faida ni ya chadema au wananchi

Unamaana kile kinywaji Babu majanga alichowahalalishia??
 
Mbona kwenye jukwaa hata wageni hawajapanda, sio wakati wa maandalizi ya mkutano hapa?
 
Mbona kwenye jukwaa hata wageni hawajapanda, sio wakati wa maandalizi ya mkutano hapa?

Maandalizi gani mkuu?? Watu wanamwaga sera hapo...ajabu hamna wana-chalinze hata kumi tu hapo...walio wengi ni misukule ya Lema...toka kuleeeeeeeeeee
 
Sawa.Sasa acha kashfa kwenye post yako, sisi wote ni Watanzania.

Mkuu unaishi kwa kukariri nn?? Wapi nilipokashifu?? au kile kinywaji alichowahalalishia Babu majanga ndio kinachofanya kazi sasa
 
Halafu misukule inajidanganya inaweza kuchukuwa nchi. Mambo mengine ni vichekesho tu.
Mohamedi Mtoi, Ben Saanane, Yericko Nyerere, GODBLESS Lema, Dr.W.Slaa - Mpooooo?

Poleni sana, ndoto zenu mmezizima wenyewe kwa kukiondoa kichwa kilichoinyanyuwa chadema, Zitto Zuberi Kabwe. Hivi mlijiona tayari mmeshakuwa? mkaamuwa kumfukuza mtu aliyeipa umaarufu chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe aibu inawakuta CDM,wewe jahili inakuhusu nini? Au umemisi mambo ya obama alokataa mugabe???
 
Back
Top Bottom