Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Ndugu, hiyo sio shida ya tcra ni shida ya watumiaji wa computer uliyokuwa unatumia ndo vitu ambavyo mostly wanasearch, ingia kwny history uangalie site zizowahi kutembelewa na hyo pc

Mbona mkuu unakuwa na ubishi usiokuwa na maana mtoa mada anachosema ni sahihi kabisa mimi hapa nina simu mpya nimejaribu kuingiza neno napenda auto suggestion ndizo hizo
napenda ku------
napenda kuf*rwa
usibishe tu fanya utafiti hayo mambo ya kusema kitu unachosearch sana ndiyo kinatokea labda kwa watu wengi Tanzania lakini siyo mimi personally
 
mkuu, hii nchi ina wafirwaji wengi sana wa Kiume na wa kike... wanajiexpose sana Instagram..
mfano. kama unatumia instagram, search huyu user anajiita godfreyMayunga...hakika utashangaa kama hujazoea...
ni li-mtu libayaaa halafu shoga.

Hapo sijaelewa ni li mtu libayaaa halafu shoga?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mkuu unakuwa na ubishi usiokuwa na maana mtoa mada anachosema ni sahihi kabisa mimi hapa nina simu mpya nimejaribu kuingiza neno napenda auto suggestion ndizo hizo
napenda ku------
napenda kuf*rwa
usibishe tu fanya utafiti

Kwani nimebisha au nimechangia ok ngoja niongezee kidogo kuna kitu kinaitwa cache memory hyo inakua inasave search zote kwny particular server kama na ww unaona hvyo itakuwa wote mkisearch mnapelekwa kwny server moja ambayo tayari kuna mtu alisearch hayo majanga
 
Mods pingeni huyu jamaa ban
 
Kwa kweli ni shida kama kuna jambo tcra wanatakiwa kufanya kwa kweli mtoa mada uko sahihi
 
Attachments

  • 1436083556551.jpg
    1436083556551.jpg
    46.1 KB · Views: 241
View attachment 265575

View attachment 265577

Hayo maneno itakuwa wewe mtoa mada ndo unapenda kuyasearch mara kwa mara ndio maana inakuletea suggestions hizo, mimi nilivyosearch suggestions zangu ziko clear kabisa

Mimj nilikuwa naona maneno nisiyoyataka kwenye search engine hasa pale unapoanza kuandika kabla ya kumalizia unachotaka kukiandika, na huwa inakuwa kama inajaribu kutabiri, nadhani ni maneno yanayotumiwa sana na watanzania.
 
kuna maneno wanatakiwa wayatoe ...n jambo dogo sema watz kila kitu kwao n cmple mpk wakumbushwe
 
TAKWIMU ZA NGONO KWENYE INTERNET: Takwimu zinaonyesha kwamba kila sekunde moja dola$ 3,075.64 zinatumika kutengeneza picha ya ngono, watu 28,258 wanafungua mitandao ya ngono, watu 372 wanatype adult search terms . Na ndani ya dakika 39 picha ya ngono nchini Marekani inatengenezwa

Fungua hapa: Internet Pornography Statistics - TopTenREVIEWS
 
Mtoa mada ahsante, lkn tuliowengi humu jukwaani ulichokisema kiko beyond our thinking capacity ndio maana michango imekua kama ilivyo lkn mwisho wa siku ulichokisema ndicho kinatakiwa kufanywa na mamlaka husika.
 
Kwani nimebisha au nimechangia ok ngoja niongezee kidogo kuna kitu kinaitwa cache memory hyo inakua inasave search zote kwny particular server kama na ww unaona hvyo itakuwa wote mkisearch mnapelekwa kwny server moja ambayo tayari kuna mtu alisearch hayo majanga

kumbuka nimesema yangu ni mpya iweje kwa mara ya kwanza tu kusearch neno nakupenda yaje maneno yasiyofaa kabisa,ok server hiyo nyingine ambayo sitakutana na matusi ni ipi naomba msaada tafadhari mkuu
 
Simple ondoa hiyo suggestion ili usipate tabu..., hayo maneno ndio yanakuwa searched sana (keywords according to google)
 
UZALENDO ni zaidi ya tunavyodhani..... umeonyesha uzalendo mtoa mada , hongera sana....... nimechukia sana nilivyoandika neno NAPENDA, yaani mimi napenda hayo GOOGLE wanayo suggest??? Nimechukia
 
Back
Top Bottom