mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 362
Andika napenda kul....uone kinachotokea
View attachment 265590
Ok WE ARE ANONYMOUS uko sawa hapo uliposema ukiandika neno 'NAPENDA' zinatokea suggestions hizo, but kwenye screen short yako hapo juu nahisi 'umetuibia', ukiandika haya maneno full 'NAPENDA BY CHRISTINA SHUSHO haiwezi ukuletea suggestions hizo.
Google ni km maktaba iliyojaa vitabu vya kila aina vikiwepo vya sexiology. Pia ni kama msitu mkubwa wenye kila aina ya mimea. Hivyo unahitaji search skills kuweza kufika katibu zaidi na unachotaka. Kwa mfano ungeweka hayo maneno ndani ya alama za kufungua na Kufunga semi, hayo mengine yasingejitokeza. Tupeane nafasi ya kuifurahia GoogleView attachment 265590
Ok WE ARE ANONYMOUS uko sawa hapo uliposema ukiandika neno 'NAPENDA' zinatokea suggestions hizo, but kwenye screenshot yako hapo juu nahisi 'umetuibia', ukiandika haya maneno full 'NAPENDA BY CHRISTINA SHUSHO haiwezi kukuletea suggestions hizo.
Mpwa ni kweli kabisa ila mada yako inahitaji nyama zaidi. Hio computer uliotumia au account ndio mwenye nayo aliitumia kusearch hayo maneno. Hio ni kweli kabisa tubadilike
Mpwa ni kweli kabisa ila mada yako inahitaji nyama zaidi. Hio computer uliotumia au account ndio mwenye nayo aliitumia kusearch hayo maneno. Hio ni kweli kabisa tubadilike
View attachment 265575
View attachment 265577
Hayo maneno itakuwa wewe mtoa mada ndo unapenda kuyasearch mara kwa mara ndio maana inakuletea suggestions hizo, mimi nilivyosearch suggestions zangu ziko clear kabisa
Mtoa mada hizo auto suggestions utakuwa unapenda kutembelea hizo sites. Do maana ukianza kutype tu zinajileta
Jaribu na hii!! "WANAFUNZI WA CHUO" tena ukiweza weka iserch image
View attachment 265575
View attachment 265577
Hayo maneno itakuwa wewe mtoa mada ndo unapenda kuyasearch mara kwa mara ndio maana inakuletea suggestions hizo, mimi nilivyosearch suggestions zangu ziko clear kabisa
mdau mtoa post yuko right kabisa miye mwenyewe nimejaribu suggestion ndiyo hizo na simu ni mpya hata huvyo nani anaweza kusema anapenda kufirwa
Ndugu, hiyo sio shida ya tcra ni shida ya watumiaji wa computer uliyokuwa unatumia ndo vitu ambavyo mostly wanasearch, ingia kwny history uangalie site zizowahi kutembelewa na hyo pc