Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Aibu: Wito kwa TCRA kuhusu Google

Hapana bwana hata mimi nimejaribu ndo hayo hayo ya mtoa mada. Nomaa.
 
Tatizo cyo google bari ni uchafu wa vitu tunavyo post asa kwenye blogspot za vichwa ndimu wanakaa na ku post ujinga blogspot na blogger wana husika
 
Tatizo cyo google bari ni uchafu wa vitu tunavyo post asa kwenye blogspot za vichwa ndimu wanakaa na ku post ujinga blogspot na blogger wana husika

Umeandika kitu gani hapa!
 
Hivi kumbe ni kweli ee!
ImageUploadedByJamiiForums1436356785.193733.jpg
 
View attachment 265590

Ok WE ARE ANONYMOUS uko sawa hapo uliposema ukiandika neno 'NAPENDA' zinatokea suggestions hizo, but kwenye screenshot yako hapo juu nahisi 'umetuibia', ukiandika haya maneno full 'NAPENDA BY CHRISTINA SHUSHO haiwezi kukuletea suggestions hizo.

Correct. Ukishaongeza hayo maneno mbele unakuwa umeshazifungia zile suggestions. Kwa hiyo kizaazaa kipo pale unapoanza tu kuandika
 
Back
Top Bottom