WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Uko sahihi mtoa mada
Naunga mkono hoja kuna sku nlikuwa na sista kuna ktu tulitaka kuchek ile naandka tu suggestion zlizotokea ikabid nighair
mdau mtoa post yuko right kabisa miye mwenyewe nimejaribu suggestion ndiyo hizo na simu ni mpya hata huvyo nani anaweza kusema anapenda kufi*wa
Wewe kondakta utajua wapi mambo ya google? Kuna ishu ya kuzeeka hapa?mtoa post ukizeeka utakuwa mkoloni zaidi ya hapo
View attachment 265575
Hayo maneno itakuwa wewe mtoa mada ndo unapenda kuyasearch mara kwa mara ndio maana inakuletea suggestion hizo, mimi nilivyosearch suggestion zangu ziko clear kabisa
Wewe kondakta utajua wapi mambo ya google? Kuna ishu ya kuzeeka hapa?
wewe ni mkoloni huna tofauti na january makamba.habari za ukondakta zimefikaje hapa.?
Mtoa mada hizo auto suggestions utakuwa unapenda kutembelea hizo sites. Do maana ukianza kutype tu zinajileta
Bahati nzuri ume quote mpaka url, wewe umeandika neno (Christina Shusho Napenda), inaonekana hapo juu kwenye URL yako christina+shusho+napenda.
Anza na neno NAPENDA halafu tuwekee hapa.
Hebu jaribuni kuandika NAPENDA U......
Ili tuone Kama unapenda ukawa kitakuja nini?