bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Ni mara baada ya Vincent Nyerere kumaliza kutoa ufafanuzi wa hoja za wachache katka kamati namba 8. Kabla tu ya bunge kuahrishwa gafla umeme ukakatika na giza nene kutawala mpaka mwsho wa shuguli za bunge huku makamu mwenyekiti akiongea gizani kuahrisha bunge huku akiwa haonekani akisikika sauti tu na mianga ya simu kutawala ukumbi wa bunge. Swali, hivi bunge linakosa automatic generator?