AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

Yaelekea mtoa mada huo ndio ubalozi wake wa kwanza wa Tanzania kuutembelea akiwa nje ya nchi.kokote duniani utakapoenda kwenye balozi Za Tanzania lazima utakuta wazawa wa nchi mwenyeji wakifanya kazi pale,hivyo hivyo hata nchi nyingine kwetu Tanzania ambazo zina ubalozi wao kwetu Tanzania kuna wafanyakazi Wa Tanzania ambao ni waajiriwa ktk balozi hizo.Mfano ukienda balozi za wachina utakutana na Mtanzania,balozi za Korea utakutana na MTanzania, sasa nao wawatoe Wa TZ ktk hizo ofisi wawaweke wachina na wakorea wenzao?.Tuache kukurupuka na kutoa shutuma na lawama bila kufikiri.South umekimbia xenophobia attack nini?.
 
  • So kama wao wanafanya unataka na sisi tu copy and paste?
  • Tunaweza kuja na version yetu
  • Kwa mantiki hiyo hata kule Nairobi kwenye ubalozi wetu unaunga mkono mzawa "mkenya" kuomba na kupewa ajira pamoja na rafu zote wanazo ifanyia nchi yetu.
Kwanza acha ushamba wa kibongo bongo wa kutumia neno la kiingereza ''so'' kishamba! Nchi nyingi ikiwepo Tanzania huajiri wenyeji wa nchi husika kwenye balozi zao ili kupunguza gharama! Mtu yoyote na wataifa lolote anaweza kuomba!
 
Njoo Tz uone maajabu kiongozi wa chadema freeman Mbowe anakula deal za poda anawaletea watanzania wateketee kabisa.
Shem on Mbowe!!!
 
Hiyo mbaya sana nadhan greyson msigwa atafikisha hilo kwa magu
Magu yup au wa ngara olkokola
 
Hujaelewa thready....nini nilikuwa namaanisha mkuu
 
Kwanza acha ushamba wa kibongo bongo wa kutumia neno la kiingereza ''so'' kishamba! Nchi nyingi ikiwepo Tanzania huajiri wenyeji wa nchi husika kwenye balozi zao ili kupunguza gharama! Mtu yoyote na wataifa lolote anaweza kuomba!
Mkuu huelewi nini tunahtaji..yaan unaajr wazawa wote na HAWAJUI hata lugha yako....shame on you
 
Hiyo aibu ni kila sehemu ndugu yangu, chukia kuitwa mtanzania kama mimi navyochukia, maana nchi imeharibiwa kila sehemu na hawa waccm, ni aibu aibu aibu. Abu dhabi kuna muhindi huyo ukifika anaanza kukuuliza maswali ya kisenge kama unavyojua wahindi kwa maswali ya kijinga, what can I help you? We mjinga utanisaidia nini kwenu india mi bongo pumbavu, anakera kweli, wapo wabongo pale lakini wanamakuu kuliko makonda, receiption au ukipiga simu huyo muhindi ndio anapokea. Ccm iondoke jamani.
 
Wajinga wametufikisha hapa tulipo leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…