Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,086
- 16,060
Kuna umri unafika unabadilika kabisa, yaani siamini ndio mimi huyu ama?
Nasafiri niko kwenye bus, nimekaa na katoto kazuri balaa, na kanarespond vizuri sana. Tumeshuka kupata msosi kapo na mim yaani, nimelipa msosi tumekula. Kananiambia ndio kanaenda kuanza 1st year Dar es salaam, Kiuno kimekatika hatari.
Sasa nikipiga mahesabu haka kama sio miaka 19 basi 20. Mimi nimemaliza 2013 chuo, sasa na-imagine hili gap la umri.
Ninachowaza
1. Ananichukulia kama mshkaji
2. Baba
3. Mkaka fulani
4. Babu
Ama nini, nataka nichukue namba nasita, ila kana dalili zote za kunipa namba sasa. Nikikacheki kalivyongia kwenye bus asubuhi kaliniamkia, ila sasa kana confidence fulani hivi.
Sasa mabaharia, nichukue namba kwa lengo la kibaharia au nikapotezee tu?
Ushauri tafadhali,
Aibu naona mimi.