kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
Atakuwa ndiye yeye!Mdogo wangu kasafiri leo toka mwanza to dar...
Ngoja nimpigie simu nimuulize amekaa na nani/mwanaume au mwanamke.
Atakuwa ndiye yeye!Mdogo wangu kasafiri leo toka mwanza to dar...
Ngoja nimpigie simu nimuulize amekaa na nani/mwanaume au mwanamke.
Umri kidogo sijamuacha sana,afu wanaume ni kusaidianaKwahyo unataka nkupe wewe,hahah

umeniangusha sana mjukuu enzi zetu chance kama hizo ningekuwa nimeshamaliza mchezo ...ngoja hasira zangu zitulie nitakuja kukushaur cha kufanyaNipe ushaur babu
Kuna umri unafika unabadilika kabisa, yaani siamini ndio mimi huyu ama?
Nasafiri niko kwenye bus, nimekaa na katoto kazuri balaa, na kanarespond vizuri sana. Tumeshuka kupata msosi kapo na mim yaani, nimelipa msosi tumekula. Kananiambia ndio kanaenda kuanza 1st year Dar es salaam, Kiuno kimekatika hatari.
Sasa nikipiga mahesabu haka kama sio miaka 19 basi 20. Mimi nimemaliza 2013 chuo, sasa na-imagine hili gap la umri.
Ninachowaza
1. Ananichukulia kama mshkaji
2. Baba
3. Mkaka fulani
4. Babu
Ama nini, nataka nichukue namba nasita, ila kana dalili zote za kunipa namba sasa. Nikikacheki kalivyongia kwenye bus asubuhi kaliniamkia, ila sasa kana confidence fulani hivi.
Sasa mabaharia, nichukue namba kwa lengo la kibaharia au nikapotezee tu?
Ushauri tafadhali,
Aibu naona mimi.
We kumaliza chuo 2013 inategemea pia na umri wako ulioingia nao chuo bana unaeza kuwa babu vile vile 😀 😀 😀 😀 kwani uliingia kama DIRECT, EQUIVALENT AU MATURED ENTRYKuna umri unafika unabadilika kabisa, yaani siamini ndio mimi huyu ama?
Nasafiri niko kwenye bus, nimekaa na katoto kazuri balaa, na kanarespond vizuri sana. Tumeshuka kupata msosi kapo na mim yaani, nimelipa msosi tumekula. Kananiambia ndio kanaenda kuanza 1st year Dar es salaam, Kiuno kimekatika hatari.
Sasa nikipiga mahesabu haka kama sio miaka 19 basi 20. Mimi nimemaliza 2013 chuo, sasa na-imagine hili gap la umri.
Ninachowaza
1. Ananichukulia kama mshkaji
2. Baba
3. Mkaka fulani
4. Babu
Ama nini, nataka nichukue namba nasita, ila kana dalili zote za kunipa namba sasa. Nikikacheki kalivyongia kwenye bus asubuhi kaliniamkia, ila sasa kana confidence fulani hivi.
Sasa mabaharia, nichukue namba kwa lengo la kibaharia au nikapotezee tu?
Ushauri tafadhali,
Aibu naona mimi.
Mpaka muda huu mtoto kashatoa namba,Yani tukushauri mtu ambaye hatumjui, what if in ndugu yangu!
Mpaka muda huu mtoto kashatoa namba,
Mpaka muda huu mtoto kashatoa namba,Ukishakuwa Baharia, tayari jibu lipo tayari.
Usiishie kuchukua namba tu. Nendeni pamoja usiku wa leo.
Usije ukaishia kupewa namba, akafikia kwenye pini la msela mwingine.
Mpaka muda huu mtoto kashatoa namba,Chukua namba wewe pimbi acha undezi hujui kufika 31 disemba namba za baadhi ya watu zinaweza zisifanye kazi! Na unatakiwa umle kabla ya hiyo tarehe.
Mpaka muda huu mtoto kashatoa namba,Mdogo wangu kasafiri leo toka mwanza to dar...
Ngoja nimpigie simu nimuulize amekaa na nani/mwanaume au mwanamke.