Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,811
- 218,468
hamna kwani ?Temeke kuna kijiji? Au unaizungumzia wilaya ya temeke katika mkoa gani?
Safi sana,anatii maagizo ya mwenyekiti wake kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake'View attachment 2095009
Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke .
Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea .
Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa , huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia .
Si mwizi,ila roho ilipenda, kaonewa wivu.Kipendaroho asiwe mwizi?
Mgambo aende kuvunja godown ili iweje ?Amevunja kwa wizi au kuvunja kama mgambo machinga?
Maana yake ni chukua chako mapema๐CCM = Chama Cha Majambazi
hamna kwani ?
Yupi?? Waziri au aliyekuwa kwa usukani.Pimbi yule alituwekea viongoz wa hovyo kabsa
Wenyeviti karibu wote wa mitaa ni jobless na mission town wa CCMView attachment 2095009
Mh Ally Kipendaroho ni miongoni mwa Wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa , kwenye uchaguzi uliosimamiwa kikamilifu na aliyekuwa Waziri wa Tamisemi Mtukufu Jaffo mwaka 2019 kutokea kijiji cha Torori , kata ya Chang'ombe , Wilayani Temeke.
Ni siku kadhaa sasa zimepita kwa Kipendaroho kuwa selo ya Polisi Chang'ombe kwa TUHUMA ZA KUVUNJA MAGODOWN , Upelelezi juu ya jambo hili ungali unaendelea.
Kijiji cha Torori ni miongoni mwa vijiji vichache sana vilivyobarikiwa kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda , hivyo kuwa na Maghala mengi ya kuhifadhia bidhaa, huku kikizungukwa na familia nyingi duni zinazozalisha vijana wengi vibaka , wezi na walevi kupindukia.