Aibu kubwa


Because you know what is "The Power of Love", you have to love your fellow JF members by coming...hoping to see you there zion Daughter

 
Last edited by a moderator:
vijana hawatiki kufanya kazi wanapenda maisha kama hayo tu ya kulelewa
 
Oyaaa... mi siyo mzungu bana, binti amu anataka kikongwe cha kizungu.

Nimekumisi mchumba.
 
Last edited by a moderator:
We kigoli uwe na adabu. Aliyekuambia nimewashindwa ni nani? FYI niko mbioni kukamata kifaa cha tano. Hebu ongea na Paloma vizuri:becky::becky::becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
jana nimemwona rasta mmoja na kibibi kwenye pantoni feri pale wanashikana shikana kijana mdogoooo watu wote juu na chini wanawaangalia na rasta wala haoni tabu
 
Thanks Thanda..will try to come by the grace of God


I will be happy when people introducing themselves there..1. @ZD, 2. Asprin, 3 Thando........4.mmmmmmmmmmmmh!! who is this again??? I will be happy to meet folks in person.

 
Last edited by a moderator:
Katika zile ajira milioni za mzee....hii ni moja :glasses-nerdy:
 
Sio unanimisi tu kwa maneno.Safari hii ukinikimbia kwenye kumbukumbu ya Regia subiria talaka saba.
Hivi mpaka tukutane kwenye kumbukumbu.... huko kwenye kumbukumbu kuna vyumba vya kulala wageni wanaotoka Dar wakielekea Dar?
Katika zile ajira milioni za mzee....hii ni moja :glasses-nerdy:
Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hiki siyo kiherehere.
 
Chezea invoice wewe...Sasa vijana wanahamia airtel vuta punga weka kibindoni maisha ka kawa. wadada wamezidi sa hivi.. mahusiano ya siku mbili mara dia, sina godoro...dia kuna fastjet nataka kwenda AR....mwaka mpya umekaribia dia..mhhh..mhhh..
 
Kuna tatizo hapa
"
Kwanini ni aibu?Kwanini huu umekua ni mjadala?
 
ah ah si kuna kale kamsemo age is nothing but a number...jamaa angekuwa analinawa janaume lenzie sawa...wanasema simba kula mtu ni habari ila mtu kula simba ni habari hatari chezea GIGALO aliyekula hii kitu:majani7:

Na si saizi ya kiatu awe kijana na mzee au kijana kwa kijana haijalishi!
 
kaz kweli kweli
 

Attachments

  • wpid-marriage3.jpg
    15.3 KB · Views: 35
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…