wapinzani bwana badala ya kuwa lao moja kuitoa ccm wanasemana kweli kazi ipo kuleta mageuzi nchi hii huyu naye mpinzani wa kweli?
nccr ni wapinzani?tlp je?dp ni wapinzani?cuf?hivi vyote inawezekana kabisa ni ccm.chunguza.
wapinzani bwana badala ya kuwa lao moja kuitoa ccm wanasemana kweli kazi ipo kuleta mageuzi nchi hii huyu naye mpinzani wa kweli?
Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni limetumwa kwa kutumia barua pepe ya CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com Tujiulize nimeleta hapa haraka, kuna uhusiano gani kati ya CCMTanzania na Mtikila, Mtikila aulizwe kwanini ametuma barua pepe hiyo kwa kutumia anwani ya CCM waliandaa pamoja au aliandaliwa ili akasaini? Tunapeleka wapi nchi yetu? na Je CCM walikuwa wanaweweseka nini hadi wamwite Mtikila kutoa tamko la kusema Chadema wanahusika na Bomu la Arusha??? Tunaipenda nchi yetu, Serikali ichukue hatua.
Mungu ana makusudi na mpango wa wananchi.Mtikila hiyo ndo biashara yake mjini.Ukimkatia kidogo hata kama mlikosana atakusafisha.
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!
Wewe humjui Mtikila vizuri.....naomba ukae kimya!
Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!
Jana na juzi tumepokea katika mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni limetumwa kwa kutumia barua pepe ya CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com Tujiulize nimeleta hapa haraka, kuna uhusiano gani kati ya CCMTanzania na Mtikila, Mtikila aulizwe kwanini ametuma barua pepe hiyo kwa kutumia anwani ya CCM waliandaa pamoja au aliandaliwa ili akasaini? Tunapeleka wapi nchi yetu? na Je CCM walikuwa wanaweweseka nini hadi wamwite Mtikila kutoa tamko la kusema Chadema wanahusika na Bomu la Arusha??? Tunaipenda nchi yetu, Serikali ichukue hatua.
Eti na yeye kwa kutumiwa na hao hao ccm akafungua kesi akidai mgombea binafsi wakati huo huo ana chama chake cha siasa sasa kwahilo anapata faida gani?
Mtikila haunganishwi na Chama cha Mapinduzi, amejiunganisha mwenyewe, au ameunganishwa na CCM wenyewe ilikuwaje akatumia barua pepe ya CCM akatuma kwa watu, kama yeye sio makini kivile, wewe unamtetea katika lipi? barua pepe kagawa yeye na kusoma tamko, lakini tamko originally limetoka CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com, wewe unayepinga ulikuwepo?