Aibu kubwa, CCM na Mtikila

Aibu kubwa, CCM na Mtikila

Naona Unajaribu Kumuunganisha Mchungaji Christopher Mtikila na CCM,Kwa taarifa yako Mchungaji Mtikila ndio Mpinzani wa Kweli katika Nchi hii ambae kwa kutumia nguvu na akili zake ameweza kusimamia kidete na kutetea mambo yale yanayo husiana na Masrahi ya Taifa hili! Propaganda zenu zifike kikomo!

rudi shuleni.! 'masrahi' ndio nini?
 
Mi hainishangazi mtikila kufanya kazi za ccm kwa sababu DP mfadhili wake mkubwa ni ccm.
Jana na juzi tumepokea katika
mitandao na barua pepe mbalimbali Tamko la Chama cha DP kuhusu bomu la
Arusha, licha ya kulisoma tamko hilo, wote mliotumiwa angalieni
limetumwa kwa kutumia barua pepe ya
CCMTANZANIAcontentsfolder@gmail.com
Tujiulize nimeleta hapa haraka, kuna uhusiano gani kati ya CCMTanzania
na Mtikila, Mtikila aulizwe kwanini ametuma barua pepe hiyo kwa kutumia
anwani ya CCM waliandaa pamoja au aliandaliwa ili akasaini? Tunapeleka
wapi nchi yetu? na Je CCM walikuwa wanaweweseka nini hadi wamwite
Mtikila kutoa tamko la kusema Chadema wanahusika na Bomu la Arusha???
Tunaipenda nchi yetu, Serikali ichukue hatua.
 
Mtikila ni fortune seeker. Kumbukeni alishapokea hela za fisadi papa kimpango mpango.
 
Back
Top Bottom