wakati wa mvua ni kukwepa madimlbwi tu lah sivyo unaweza chukuliwa na maji taka
Unaweza hata ukaliwa na mamba
mbona hapo hidery plaza huo ni ugonjwa wa miaka nenda rudi??au wewe ni mgeni wa mji huu nn aisee??
Ana bahati angetokea feri pale ishazama DCM ikatokea Feri.
Only in Tanzania, mashimo kwenye lami.