Kwa kweli muda mreefu saana na City Council hawana habari, inabidi tujaribu kwa ndoano pengine kuna samaki wameshazaliana
ha ha ha ha ha ha ha ha ha aisee pale inabidi kuwa unabeba boti juu ya gari ukifika pale fulu kuvushana kwa boti aisee