Aibu hii wanaume

Aibu hii wanaume

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.

Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe.

Sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu, wadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.

Maoni yenu wakina kaka tulizungumzie hili
 
kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili

nahisi ww ndo humridhishi wako coz jinsi ulivyogeneralize ni wanaume wote! Sasa wao kama wanaume hawawaridhishi wamefahamu vp hawardhishwi? Kama kuna baadhi wanawaridhisha its simple to compare otherwise sema aibu ya baadhi ya wanaume na c wanaume wote
 
Huwezi ukasema huyu ni mfupi bila kumuona mrefu hivyo si wanaume wote ungewafuata waume wa hao wakina mama ndo uwaambie haya otherwize kama ni wewe jitahidi kumridhisha mkeo
 
Bao nne @45 mins each!!! Ni roughly dk 180. Nina mengi ya kufikiria, kama haridhiki aende mbele...
 
hao waongo kama ni suala la kumridhisha mwanamke halihusiani na bao nyingi unaweza kmridhisha kwa bao moja tu,na pia unaweza ukaenda hatazaidi ya hizo nne mpaka utoe damu na bado akawa hajaridhika

maana mnaweza kwenda raundi 10 na hakuna lolote
 
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili
Sasa kwanini wewe usingetesti zali ukawaambia kidume cha ukweli nipo hapa
 
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.Kitu kingine wanacholalamika wanawake ni kwamba wanaume wengi mna haraka sana mkifunuliwa paja tu mnachanganyikiwa kama kuku kamuona mwewe,sasa nashauri wanaume wenzangu mnapokuwa na wanawake wakazeni vya kutosha coz huko nje mpaka wanawataja majina kwamba wengi wenu nyie ni suruali na ndevu tu............wanadau angalau bao 4 hivi kidogo ndio wanaanza kujisikia akili yao imekaa vizuri.......maoni yenu wakina sasa na kina kaka tulizungumzie hili

Mh cjui itakuaje sasa?
 
Hao wanawake wa wapi wanaoshindwa kuzungumza na wenza wao ili waridhishwe badala yake wanaenda kulalamika nje..???

Kama huridhishwi tafuta namna njema ya kuongea na mumeo....!!
 
Hao wanawake wa wapi wanaoshindwa kuzungumza na wenza wao ili waridhishwe badala yake wanaenda kulalamika nje..???

Kama huridhishwi tafuta namna njema ya kuongea na mumeo....!!
Umemaliza
 
Back
Top Bottom