Wana JF, sina ubishi katika hao waandishi wa kike, lakini tuwe wakweli hata waandishi wa habari waliotoka Dar es Salaam na kulipiwa fedha na vyombo vya wakiwamo wa Mwananchi (Nevil Meena) Huyu ni Mhariri na Katibu wa Jukwaa la Wahariri naye anaingia kwenye kashfa hii ya kuwaomba fedha viongozi wa na wabunge wa CCM.
Tulimshuhudia si mara moja akienda kwenye kambi ya CCM (Gateway Hotel) akijifanya kujenga hoja za mambo yanayoendelea kwenye kampeni hizo na baadhi ya wabunge wa CCM, lakini mwisho wa Saa alikuwa akilalamika njaa na kudai yeye hajaenda kupiga porojo ameenda Arumeru kutafuta fedha. Naomba tunapowaeleza ukweli waandishi wa kike wanaotumia miili yao kudhalilisha TAALUMA pia wapo wanaume nao wanadhalilisha vyeo walivyonavyo na vyombo wanavyotoka kwani si wanakuwa wamelipiwa kila kitu, hiyo tamaa ya kuombaomba fedha inayoka wapi.
Na hili si kwa Arumeru Mashariki tuu kwani hata uchaguzi wa Igunga mwandishi wa Mwananchi Boniface Meena alikuwa ni moja ya waandishi waliopelekwa na ofisi zao, lakini kufika kule alianza kujipendekeza kwa viongozi wa CHADEMA ili aingizwe kwenye posho za waandishi waliopelekwa na CHADEMA kutokea Dar wakati yeye alilipiwa na ofisi.
Hii tabia si nzuri kwa waandishi wote, tunawaomba wabadilike tutaacha kuwaruhusu kuingia kwenye maofisi yetu wala kuja kutuhoji tunawajua vizuri sana nyinyi.
Nakubaliana nawe kabisa kwa mwandishi huyu na hata mimi nikiwa hapa Arusha nimemshuhudia akipewa pesa na mwigulu Mchemba na nikashangaa kama mwananchi hawakumpa pesa au vipi. ni aibu kwa gazeti tunaloliamini kama mwananchi kumuajiri huyu mtu na kumfanya mhariri huku akiaibisha taaluma yake ukizingatia ana muda mrefu katika fani hii. Pia ni aibu kwa jukwaa zima la wahariri kwa bosi wao kujiingiza katika tabia hii. shame on you journalists wa aina hii ya Meena
ni kwamba 'uchangudoa 'umevamiwa na waandishi wa habari? au uandishi wa habari umevamiwa na machangudoa???
which is which?????????
ni kwamba 'uchangudoa 'umevamiwa na waandishi wa habari? au uandishi wa habari umevamiwa na machangudoa???
which is which?????????
Waandishi hao ni,Ashura Mohamed kutoka kituo cha radio five ya jijini Arusha,Jeny Edward anayeandikia gazeti la majira na pamela Mollel wa gazeti la majira jijini Arusha.
hilo sio tija na vyuo walivyosoma vinahusika pia..
Kuna waandishi wa habari wa aina 3 na kuna bahasha za waandishi za aina 3!.
Waandishi.
1. Genuine Journalist: Hawa ni wale waliosomea fani na na wana wito wa uandishi. Hawa wataandika habari yako bila kudai chochote kwa sababu ni wakaajiriwa na hizo media na wanalipwa mishahara yao.
2. Freelance Journalist: Hawa ni waandishi ambao ambao wanapenda fani ya uandishi na wakasomea au hata bila kusomea lakini hawaku bahatika kuajiriwa. Ili hawa ma freelancers hawalipwi mpaka story itoke!. Wanalipwa kati ya Sh. 2,000- 5,000 per story!. Hivyo you can imagine!. Hao waandishi wote wenye tabia hizi wengi ni hawa ma free lancers na wengine ndio hao makanjanja!.
3. Born Journalist: Hawa ndio wale walio zaliwa wawe waandishi and likely wataufia uandishi. Hawa hujitoa maisha yao ...
Wana
JF, sina ubishi katika hao waandishi wa kike, lakini tuwe wakweli hata
waandishi wa habari waliotoka Dar es Salaam na kulipiwa fedha na vyombo
vya wakiwamo wa Mwananchi (Nevil Meena) Huyu ni Mhariri na Katibu wa
Jukwaa la Wahariri naye anaingia kwenye kashfa hii ya kuwaomba fedha
viongozi wa na wabunge wa CCM. Tulimshuhudia si mara moja akienda
kwenye kambi ya CCM (Gateway Hotel) akijifanya kujenga hoja za mambo
yanayoendelea kwenye kampeni hizo na baadhi ya wabunge wa CCM, lakini
mwisho wa Saa alikuwa akilalamika njaa na kudai yeye hajaenda kupiga
porojo ameenda Arumeru kutafuta fedha. Naomba tunapowaeleza ukweli
waandishi wa kike wanaotumia miili yao kudhalilisha TAALUMA pia wapo
wanaume nao wanadhalilisha vyeo walivyonavyo na vyombo wanavyotoka
kwani si wanakuwa wamelipiwa kila kitu, hiyo tamaa ya kuombaomba fedha
inayoka wapi. Na hili si kwa Arumeru Mashariki tuu kwani hata uchaguzi
wa Igunga mwandishi wa Mwananchi Boniface Meena alikuwa ni moja ya
waandishi waliopelekwa na ofisi zao, lakini kufika kule alianza
kujipendekeza kwa viongozi wa CHADEMA ili aingizwe kwenye posho za
waandishi waliopelekwa na CHADEMA kutokea Dar wakati yeye alilipiwa na
ofisi. Hii tabia si nzuri kwa waandishi wote, tunawaomba wabadilike
tutaacha kuwaruhusu kuingia kwenye maofisi yetu wala kuja kutuhoji
tunawajua vizuri sana nyinyi.
Tuwekee ushahidi hapa sio unataja majina tu bila kuweka ushahidi hapa. Tena unajiita mwandishi wa habari hata ushahidi huna.
Fani ya uandishi wa habari hapa Tanzania ni tatizo sio kwa wanaume wala wanawake. Waandishi huwa wanakuwa mabango ya ccm wakati wakati wa uchaguzi, wale wa magazeti ya kijani na njano huwa wanakuja na makala za kipuuzi. Wengine wanatetea mafisadi mpaka leo.
Kwa kifupi waandishi wa habari wanaume na wanawake huwa wananunuliwa kama nguo za mitumba