Donald Trump alipoongea Waafrika hatukumuelewa sasa taratiibu tutaelewa kuhusu ulinzi kuna kampuni ya China security kila kituo kuna bango sasa sijui wajibu wao pale Kimara baruti ni kama kimesuswa baada ya princes muro kukigonga.Aliyeongea Trump ni ukweli mtupu
. KAKA NAOMBA NIFAFANULIE HIZO NAMBA NA MBUGE GANI AWAJIBISHWE MDA WA SIASA UMEISHA,NISAIDIE MM.Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
. KAKA NAOMBA NIFAFANULIE HIZO NAMBA NA MBUGE GANI AWAJIBISHWE MDA WA SIASA UMEISHA,NISAIDIE MM.
+ uvivuswala ni watu wa Pwani wachafu sana
swissme
Bongo tuna safari ndefu sana.. labda wakoloni warudi tena.
Umemsikia Mheshimiwa mbunge mtoto wa marehemu Kombani (aliyerithi kiti chake) anapendekeza ile Sanamu ya Kumbukumbu ya Askari mashujaa wetu pale mtaa wa Samora ing'olewe na badala yake iwekwe sanamu ya mbogofleva, Bw Diamond kwa sababu Diamond amelifikisha taifa hili mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali! Hapo bado hujaelewa kwa nini watanzania tunajisaidia Garden?🙁Wakati mwingine uwa nashindwa kuwaelewa watanzania wengine wanajisadia Garden daah!!
Umeandika point leoTatizo kubwa la Watanzania au niseme Waafrika ni akili. Walio wengi "majority" ni finyu kupita kiasi.
Mambo yetu yote ni hovyo kabisa.
Hata Ulaya pamoja na utajiri wao sijawahi ona vyoo kwenye vituo vya town bus. Labda kituo cha treni. Akili ya uhajibikaji Tzn hakunaga. Sisi ni wachafu kwa tabia. Halali kabisa kipindupindu kitumalize. Bila hata aibu watu wengine wadai sababu ya uchafu wao hata majumbani kwao ni chama cha siasa. Tuna laana ya kizazi.
Kwa ku-operate wiki moja tuna-judge kuwa wameshundwa? Ni mapema mno. Yapo yaliyo ndani ya uwezo wao na mengine ni ya kisheria. Wapewe nafasi kwani changamoto ndicho chanzo cha mabadilikoDart wameshindwa kusimamia service TRoads. Nyingi zimejaa tope na mchanga. Bodaboda na Bajaj wanapita bila mpango na kuhatarisha maisha ya watembea kwa miguu. Wameshindwa kupanda miti pembeni. Wanakaa tuu ofisini hawatoki kuweka barabara zao kwenye standard ya Strabag. Huu mradi umekuwa wa Kiswahili Swahili.
Mkuu afadhali na huyo kuna wabunge wana DIV ZEROOOOO kwa mfano Mbowe KUBENEA SUGU.Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.
Ni kwel mzungu ndo kaleta utaratibu wa choo alafu ata stendi za zamani zote azikua na choo cha kulipia ni vile vikubwa tu ndo vilikua na choo ata mwanao amekua kwenye mazingira ya ivo kukojoa ovyo kufanya usafi mpk kuwe na mfanyakazi awezi jisimamia mwenyewe kwenye usafi so atakua ivo ata asipokuta maji choon ata kunya na kusepa bila ata kujitawaza ata kwa kwa kipande cha karatasiHivi vituo vya kawaida havina vyoo pia mbona hawashushi mizigo yao hapo
Sisi watanzania/Afrika ni bure kabisa kwenye mambo mengi usafi moja wapo.
Bila kubadilika hatutafika popote.
Vile vile chama kinapokeea misaada kutoka kwaq mashoga hivyo hata viongozi wake wanaweza kuwa mashoga.Chama kinaongozwa na form six failure na mgombea wa uraisi ana pass ya pfa. Wafuasi vilaza. Upizani tanzania vichekesho ndio maana wanaongea kama wanakemea mapepo