Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

Wakati mwingine uwa nashindwa kuwaelewa watanzania wengine wanajisadia Garden daah!!
Sasa hivi kwa vile ni bure ngoja wakishaanza kulipia hayo yote yatapotea pia tunapenda kululamika sana mara hakuna vyoo mbona mwanzo tulikua tunasimama hakuna kivuli jua letu mvua yetu TUNATAKIWA TUSHUKURU KWA KIDOGO wakati safari inaendelea
 
hiyo ni kawaida ya watu wa deresalama wachafu sana tena ukitaka kujua wachawi chupi zao zinatoa harufu kali sana


swissme
mbona inafahamika watu wa kanda ya pwani ndo wasafi kupitiliza kuanzia mavazi na makazi yao kutokana na hulka yao ya umwinyi..na hawa wanawake unaowasema wa chupi mbona ndo wanaweke bora kwa usafi mana inasemekana sio watu wa kazi wao huwa nyumbani na kujiremba remba kwa ajili ya kuwapendezesha waume zao...mimi naona kuna makabila yenye asili ya hii tabia kutoka bara huwa wanajisaidia vichakani mfano watu toka shinyanga huwa wanakimbiza baiskeli nakuizungusha ili kutibua vumbi waweze kujisaidia alkadhalika dodoma wanajisaidia vichakani. Na hata ukiangalia wale waliokuwa wakihojiwa majina na muonekano ni wakutoka mikoa ya bara. Kwa hili la usafi binafsi kusema eti watu wa pwani ni wachafu kiukweli sikubaliani na wewe. watu wapwani hata nguvu za kugombania mabus ya bure hawana...nilichoona kuna makabila yana nguvu na ubahili ndo yaliokuwa yakipambania haya mabus. Embu jaribu kufikiria point yako je watu wa pwani haswaaa ni wachafu nadhani jibu utalipata
 
Watazoea Tu Ata uwanja wa Taifa ilikua hivyo hivyo mwanzoni. Dah mbunge Ana div 4 point 33 ! Only in Tanzania where wonders can't cease.

Hahahahaaa! Salute mkuu, umechomekea katikati ya mlima kitonga!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
“Sijui sisi tuna tatizo gani, hivi haya mambo yote hayakuwa kwenye mpango wao. Wao wanachojua ni kukusanya fedha kwa ajili ya nauli tu?” amehoji Mgonja.
Sidhani ka kulikuwa na mpango wowote uliotengenezwa kuhusu uchafu. Hakuna idara yeyote wao walijua kupata pesa tu, habari ya kujisaidia kwao haipo.
Ushauri, wajue kuwa huduma hii ni muhimu kuliko kingine. Popote penye kusanyiko la watu, pawe na huduma hii. Ingelikuwa ni ya mtu binafsi, DART ingelifungiwa na City, lakini kwa kuwa ina jina la mtu haifungiki. Fungeni mpaka huduma muhimu ziwepo. Mmeshaoneshwa na hao wadau wanaoitumia.
 
povu jingi lakini kumbuka usafi wa ndani.

swissme
 
mamma yako msafi??yaani pale ulipotoka wewe pasafi?.. kapachunguze vizuri kunguni wewe
mkuu muhifadhi..mstiri..elimu na histori ya makabila haijui..na hajui watu wa kanda zipi ni wasafi..wa wepi ndo wanatabia hizo za kuhara popote kama yeye..na bila kujua DSM sio ya watu wa pwani tu..hata mzungu yupo na anatembea uchi,na malapa hawasemi. mmasai na mashuka hawasemi..nk
 
Tusipokuwa makini atakuja kuuawa abiria na mateja , kisa ? Kisimu cha mchina !
 
Kwani kabla ya vituo ilikuwaje? Tunajisaidia wapi? Hadi tuanze kudai vyoo vituoni? Na je tunategemea vyoo viwe bure au? Maana sasa itakuwa fujo kama hakutakuwa udhibiti! Wataingia watu toka nje na ambao hawasafiri!
 
Hii habari inawalakini maana kuna exaggeration ya mambo hapa...
 
Watu wa Daresalaam wachafu sana.Usafi uanzia nyumbani
 
Jamani tuwe wakweli,hivi kipindi cha daladala au wakati ule wa UDA/icarus kumbakumba watu walikuwa wanajisaidia vituoni? Au ukipanda mabasi ya morogoro ni masaa 3 njiani je,mtu utashindwa kujizuia ndani ya dk. 50 kufika unakofika ndani ya Dar? Mimi nawashangaa ITV kupiga picha kurusha hewani kwa njia ya kuripoti eti ni changamoto. Mbezi mwisho kuna vyoo posta kuna vyoo hebu acheni cheap politics.
 
Dah! Wameshindwa kweli kuweka hata wasafishaji tu wa kuhakikisha vituo hivyo vinakuwa visafi wakati wote na pia mapipa ya kutupia taka taka? Kweli bado tuna safari ndefu sana.
 
Dah,hivi mtu anatokaje nyumbani kwake na mavi yake tumboni akajisaidie kituoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…