NI kweli mkuu.Yah sema wengi tunakosea kuandika prompt hvy Ai inaamua yenyew cha kufanya bila ruksa, ila prompt ikinyooka huwez kukuta sura imebadilika na hata ilibadilika sio rahisi kugundua.
Passport size nayotumia now nmetengeneza kwa chatgpt na ukiichek unaona n mm kabisa 100%
Mkuu, ukishaona kuna cha bure afu hapo hapo kuna ya kulipia maana yake lazima kuwe na utofauti.Mbaga hujambo mwanangu kumbe uko na ujuzi babanguu
Mbona chatgpt ya kawaida ina picha standard tuu ila hapo kwa kulipia umenikamata ngoja nijaribu kuanzia November nione makali ya huyo mwamba.....
Sawa asanteπ18 Julai 2026
Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia.
Kwa kutumia Grok Imagine, unaweza kupakia picha moja na kuibadilisha kuwa video yenye mwendo wa kamera, miondoko ya watu au vitu, sauti za mazingira, mazungumzo na athari za sinema.
Kampuni ya xAI inaeleza kuwa Grok Imagine inaweza kugeuza picha moja tulivu kuwa video inayosogea kwa kufuata...
- youngkato
- grok jinsi jinsi ya jinsi ya kutengeneza ai jinsi ya kutumia ai kutengeneza kutengeneza picha za ai kutumia picha picha za ai video video za ai
- Replies: 0
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Hebu pitia huu uzi prida
Nikitaka kutengeneza hizi ads.... kwa Ai tool ni ipi nzuri kwenye kulipia ndiyo umenisanua hapoMkuu, ukishaona kuna cha bure afu hapo hapo kuna ya kulipia maana yake lazima kuwe na utofauti.
Chatgpt nayotumia nmelipia kutokana na aina ya kazi nayofanya hvy ya bure inanizuia kufanya mambo mengi pia inanirahisishia kazi ya graphics.
Sio walini..Na we walikuhack π
Safi, lazima tuishi kwa kutegemeana π
Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe πThat's a wonderful way of making her understand while making your way to get a tender.
Kazi ni kazi ila kama hana hela itabidi akubali kuhenyeka. Ku edit ni kazi ngumu sana. Watu hawajui tu
Chatgpt haitengenezi video, n picha tuu.Nikitaka kutengeneza hizi ads.... kwa Ai tool ni ipi nzuri kwenye kulipia ndiyo umenisanua hapo
Ah ila kama huna mambo mengi duniani huko, bc watakuacha wnyw πSio walini..
Am hacked.
Sina privqcy.π
Hii simu nayotumia hapa iko wazi kama kalio la jogoo kwenye upepo.π
Mimi hata sio ananymous ,wanajua hadi micheps ya baba wawili yangu ambayo mimi siijui.
Kwa kifupi najulikana kuliko ninavyojijua.
Nimeona ndugu yangu.Ww unaona nakukazia mana umeamua kutokusoma comment zangu vzr, mm nmekupgia hesabu vzr nmekuwekea hapo.
Uzuri h kazi kuna gharama za aina mbili.
1. Gharama za moja kwa moja kama kulipia app na bando.
2. Pesa zisizo za moja kwa moja kama muda wa kufanyia editing hizo videos, muda wa kuandaa prompt n.k
Ukiamua kufanya mwnyw n nafuu zaidi kuliko kumpa mtu mana mtu mwngn itabidi umlipe gharama za muda wake.
Ukifanya ww utaokoa gharama za editing, kuandika prompt n.k
Mfano mtu atataka 500k kufanya editing hizo video zote, ila ww mwnyw utafanya editing ukiwa una kunywa juisi ya jero miguu juu kitandani kwako π
Mpaka hapo c umeona kuna gharama umeokoa, au hujaona?
prida
Hahahaha ngoja November sio mbali leo nikiwa home nta ipakua hiyo gemini..... Niichek nikiwa natafuta utulivu na kiasi cha premium hapoChatgpt haitengenezi video, n picha tuu.
Ila inakusaidia kutengeneza prompt nzuri na sahihi ili ukaipaste kwenye Ai video unayotaka.
So chatgpt unaipa ideas tuu then wanakupa prompt nzuri.
Kama unataka video, I prefer utumie Higgsfield AI japo hii ina complicated kiasi, so kama ndo unaanza hizi ishu anza na gemini ipo simple kuitumia japokuwa ikiwa unaanza unaweza usiielewe mwanzoni unaweza kuona inakuchanganya hasa ilianza kukupa video hazieleweki mara kichwa kipo mguuni π jokes
Kumbe na wewe ni msaka fursa tu?Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe π
Na hii kazi huwez kukwepa editing π
Mana hakuna Ai itakayokupa video ya dkk Ht 5 ndani ya video moja, gemini nayotumia Inatoa video ya 10 sec so inabidi uifanyie editing kupata dkk unazotaka
Kuna mtu alinipa kazi ya video ya dkk mbili afu akaitaka ndani ya siku moja, nikamwambia Akafie mbele huko.
So hapo umeridhika?Nimeona ndugu yangu.
Asante sana.
Nilikua najifanya sijaona ili useme yote ya moyoni.
Nyie wapare mna ubahili kwenye kila jambo lazima lazima mbinu za ziada zitumike.
Barikiwaππ
Hakuna namna hapa Zaid ya kuiacha iwe inapoa au ufanye uwe unakaa ndani ya friji πHv bruh pc kuna wakati nikiwasha kama unachek tuu video inakuwa inapata moto na feni inakuwa inazunguka bila kupoa shida nn π€
Hamna kazi zake ni chache tuu, ujue πHakuna namna hapa Zaid ya kuiacha iwe inapoa au ufanye uwe unakaa ndani ya friji π
Anyway, jaribu kuipunguzia kazi hy pc
Ofcoz.That's a wonderful way of making her understand while making your way to get a tender.
Kazi ni kazi ila kama hana hela itabidi akubali kuhenyeka. Ku edit ni kazi ngumu sana. Watu hawajui tu
Dada aliniambia anafanya editing piaKumbe na wewe ni msaka fursa tu?
Ongea na Mbaga, mfikie makubaliano acha tamaa dada. Utakesha, alaf ukipata mtu akakufundisha inakuwa faida kwako japo itaingia mfukoni kwanza
Em hapa wachek watengenezaji pcHamna kazi zake ni chache tuu, ujue π