AI video generator applications za gharama nafuu

Ah na mm sitaki madogo wanipe laana πŸ˜‚

Kwan ww hizo gharama za 6m ulipataje?
Mkuu tuachane na hii 6m.

Niambie wewe hizo za chini ya 6m zinapatikanaje mkuu.
Pia kama hutaki kunisaidia be straight mkuu kuliko kukausha maziwa ya wanangu kwa kunizungusha?
Pia kama inabidi nilipie hayo maelezo nyooka tu nishindwe mimiπŸ˜ƒπŸƒβ€β™‚οΈβ€
 
Tatizo n mama yao amekaza kichwa wakat tayr nshampa hesabu yote πŸ˜‚

Hv hao madogo n wamekuja mapacha au?
Ushasema madogo acha kushoia we mpare jiongezeπŸƒβ€β™‚οΈβ€βž‘οΈ

Naja kwako tuongee vizuri
 
HIyo 150M ni mfano tu dogo hata 10M sina so hakuna wakunipiga.

Zawadi double si za ma uncle zako wawili hakuna wakukusanukia mjomba mtuπŸ˜ƒ
Ooh wow hongera sana.

Kumbe wawili, safi sana.

Kwanza we wakishua bwana, mpaka unatengeneza documentary.. Kongole kwako dada.
 
NI eitha real life production au AI realistic .Ila kwani hata AI videos si ni 3D animation au?
Animation kidogo zinakuwa realistic maana zinatumia real sound na, pia code inahusika. AI inaonekana kabisa, alafu huwa haispark human desire.. Sijui niseme hivyo. Animation zinapendeka kwasababu zina human touch
Anyway.
Kwani mdogo eti wale wanaotengenwzaga movie serious wanatumiaga app gani?,Sidhani kama nao wanatumia hizi app za credits chache za gharama
Premier, Da'Vinci resolve, zipo nyingi sana. Ila zenyewe sio za AI. AI labda kwenye effects tu ila picha ni halisi.

I have plans to create a movie ila sio leo wala kesho
 
Boss nachqnganya sababu AI hubadili sura Moja inaonekana tofauti kwenye matukio tofauti mkuu, sijui umeelewa
Mekupata sana boss wangu.

UKituma hizo real image mtaalamu mbaga atazitumia kufanyia face lock ili wewe wa AI ufanane na huyo wa kwenye video za kweli.

Kila la heri ktk kazi yako mkuu
 
Dah jaman mm nmeshakuambia kila kitu n ww tuu umeamua kukaza Kichwa.

App yenye credit nyingi kwa nayoijua n gemini wanakupa 1000 credit, then ukiwa unaanza kuna ofa unaanza na 5k then unakuja 12500 then unakuja kwenye pesa yao ya siku zote ambayo n 50k
 
Mimi nalipa 28k kwa credit 660 na hizo zinaisha nikitengeneza clip ya dkk 3 tu😭😭.
Kwa app ya kling.
Inaumiza ndo mana nimekuja kuomba wanaojua ma app mengi ya rahisi waniambie
Utapata miongozo nipo hapa pia kupata ABC coz nipo interested na kutengeneza
 
Ooh wow hongera sana.

Kumbe wawili, safi sana.

Kwanza we wakishua bwana, mpaka unatengeneza documentary.. Kongole kwako dada.
Asante.

Vipi kama documentary inahusu maisha yangu magumu ya uswazi?

Ma uncle wanakusubiri kwa hamu uncle D G wao
 

Hebu pitia huu uzi prida
 
Mimi nalipa 28k kwa credit 660 na hizo zinaisha nikitengeneza clip ya dkk 3 tu😭😭.
Kwa app ya kling.
Inaumiza ndo mana nimekuja kuomba wanaojua ma app mengi ya rahisi waniambie
Duh 28k kwa credit 660 tena dkk 3 hiyo hapana aisee.

Tumia gemini tuu aisee.

H video ina dkk 4 ila ina vipande za video za 10 sec ila sidhani kama ilizidi credit 300
 
Sawa mkuu barikiwaπŸ™
 
Na we walikuhack πŸ˜‚
Safi, lazima tuishi kwa kutegemeana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…