Clear37
Senior Member
- Oct 25, 2023
- 113
- 171
Sawa Mtaalam wa IT.Tayar ilishafika huko.wala huna hajanya kusubiri 2040. Sema hii haiko huku africa. Huku endeleeni na haya ma garbage ya kuchora katuni ad tujifanye kuona ndio AI

Angalia mikono yao au watoto waliobebwaPicha nimeiona sehemu
Hebu weka hizo picha zako tufurahi wote 😂
AI inatengeneza picha za kuogofya sasa 🙁Angalia mikono yao au watoto waliobebwa