Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Duh! Yaani kwavile uki-Google unaikuta imeandikwa na media nyingi ndo basi tena habari ni ya ukweli!!! Yaani unazungumzia hizi blogs ambazo hazipo monitored/regulated?

Contents za online issue sio media bali ni media za aina gani!!! Chunguza hizo media unazosema zimeripoti si ajabu karibu zote ni mara yako ya kwanza kuzisikia!!

Narudia... sio habari za kweli! Hizo media nyingi unazosema zote wameichukua hiyo habari kwenye blog ya World News Daily Report. Angalia hizo media wameripoti kama zote hujakuta zimeripoti baada ya WNDR kuwa wamesharipoti!!!

Lakini kubwa zaidi, hao WNDR wameandika wazi wazi kwamba habari zao ni za kuburudisha tu! Kwa mfano, hao hao wameandika kuna gaidi amekufa baada ya kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa!! Can you believe that story?!

Humo humo kuna habari ya muhalifu ambae aliingiza silaha/bunduki aina ya M16 gerezani baada ya kuificha kwenye njia ya haja kubwa... can you believe it?!

Humo humo kuna habari ya mwanamke mmoja aliyekuwa amesomsokomeza mtoto mwenye miezi 14 kwenye K yake! Can you believe that story?!

Kwenye Post #77 nimeweka hadi link ya hiyo blog ambayo wamesema wazi habari zao ni za kuburudisha tu!!!
Moderator

Ondoeni huu uchafu ambao utasababisha minyukano isiyo na lazima!!! Hii habari sio ya kweli!

Hii habari imetolewa na habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Mfano wa habari zao ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini mashine kama hiyo inaweza kuingia kwenye tundu la haja kubwa?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
Mbona umepanic sana bro.....relax na nyie mnavotuletea news za ushoga from blogs huwa tunalalamika?
Hii habari ni ya ukweli imeandikwa na watu wengi sana hadi kuna video ya huyo judge akifanyiwa interview subiri nitakuletea
 
Hakuna mtu mpumbavu kama wewe unayesema hakuna Mungu. Wewe ni lipumbavue unamkataa Mungu halafu unaabudu baali!. Nidyo sababu huyo allah wenu a.k.a baal anawaambia mkeshe mkila usiku kucha ili mzidi kuw amapumbavu na sasa anawaa mrisha hakuna kujamba!.

Mambo gani ya kuchanganua kwa allah, aka lucifer au baal? Satan hawezi kuwa Mungu na hilo halihitaji uchanganuzi!.

Na kwa haya matusi ndiyo allah alikuwa anaku recharge kwenye wanga wenu wa kukesha mnakula? Pumbaveu kweli kwlei!

We jamaa chuki zako za kijinga zinakufanya ushindwe kutumia akili kuchanganua mambo!!! Hivi mtu anayeshirikisha ubongo wake sawa sawa anaweza kuamini ujinga kama huo?!

Nawe mleta mada, usipende kuokoteza habari kwenye mitandao bila kuwa na uhakika nazo!!!Hiyo habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Moja ya habari zao tata ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Huyo jamaa ana mku.ndu mkubwa kiasi gani hadi aweze kusokomeza dude lote hilo?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
Eti wakesha usiku wakila kama wachawi..!

Wewe ni mjinga sana..umeleta comment kwa mihemko ya chuki za kijinga unadhani hiyo kejeli wewe ndo wa mwanzo? Waliokutangulia kabla yako walifanya kama hivyo, lakini wala hakusadia kitu.
 
Nani aliyetangulia kati ya Mungu na allah? Nani aliyetangulia kati ya Yesu Kristo wa Nazareth, Emanuel Alfa na Omega, na huyo mohamed wako?

Kati yao nani ni mkuu? Funguka akili mbumbumbu wewe!. Unadanganywa na uwongo uliodhahiri halafu unabakia kulinda mungu kwa matusi? Mung analindwa na wafuasi wake? allah na mohamed wanatofauti gani na viongozi wengine wa kidunia? Tofautisha!.

Huwezi kulazimisha watu waabudu unachokijua wewe kwa kuwatukana. Kwani hamli usiku kucha? Uwongo uko wapi? Kula usiku kucha ni tusi?

Kwani hamjambi mchana kutwa? Kujamba ni shida gani kwa mtu alliyevimbiwa? Unajua kuvimbiwa kitaalam ni nini? Na kujamba kunamaana gani katika maisha ya mtu mgonjwa ama mlafi? Sasa hapo!. uone allah ahtaki mjambe, atakuwa anawatakia mema kweli? Eti mkijamba mnyongwe!. Atakuwa anataka kafara zaidi huyo allah wenu.

Vinginevyo useme kwamba kujamba siyo kosa nani haki kwa wala usiku kucha ila hao walslam wanaohukumiwa kufa kwa kosa la kujamba, wanaonewa!.
 
kujamba kwingi mwisho kushika mavi

Hapana methali inasema kuchamba kwingi mwisho kushika mavi. Siyo kujamba kwingi. Sasa hizi sheria za allah andiyo zinaonekana kuchamba kwingi and mwisho wake ni kushika mavi kweli!. SAsa watu anakesheshwa wakila, wataacha kujamba? Halafu tena wasijambe!. Sasa maana yake wafe? allah ni kiboko ya waabudu mizimu!
 
This is too much! Ila sishangai sana maana hata hapo zbar walikua wanafanya msako wa watu wanaokula mchana
 
Mbona umepanic sana bro.....relax na nyie mnavotuletea news za ushoga from blogs huwa tunalalamika?
Hii habari ni ya ukweli imeandikwa na watu wengi sana hadi kuna video ya huyo judge akifanyiwa interview subiri nitakuletea
Duh! Kazi unayo aisee!!! Yaani kwa kuwa huwa zinaletwa habari za ushoga na wewe ukaamua kupita kuokoteza habari bila kuzifanyia utafiti ili mradi tu ulipize kisasi!!

Btw, hao watu wengi unaodai waliandika hiyo habari ni akina nani?! Toa one serious media source iliyoandika hiyo habari kabla WNDR!!!

Kukuonesha nafahamu ninachosema, nitakuwekea na ushahidi hapa na wewe fanya kama ninavyofanya mimi.

Hii habari kwa mara ya kwanza ilitolewa na Word News Daily Report hapa:

Pakistan.png

Kama unavyoona hiyo screenshot hapo juu, habari ilitolewa June 28, 2017.

Sasa kwavile unadai watu wengi wameandika hiyo habari, niwekee source moja TU ambayo walitoa hiyo habari kabla ya June 28, 2017 ili tujiridhishe kwamba waanzilishi wa hiyo habari sio World News Daily Report.

Hoja ni kwamba, habari inayoanzia World News Daily Report zinakuwa ni habari za kufurahisha tu kama walivyo-disclaimer wao wenyewe!!!

Halafu mambo mengine mtu unahitaji kutumia common sense tu! Nimetoa mifano ya habari zao kama ile ya mtu kuingiza bunduki gerezani baada ya kuificha kwenye njia ya haja kubwa... hivi kuna mtu kwenye akili zake anaweza kuamini habari kama hiyo?! Au mtu mwenye akili zake anaweza kuamini kwamba kuna gaidi alificha bomu kwenye njia ya haja kubwa? Mtu mwenye akili zake anaweza kuamini habari za mwanamke kumsokomeza mtoto mwenye miezi 14 kwenye uke wake?!

Kuna habari yao nyingine hii hapa:

Nyoka.png

Hivi kabisa unaweza kuiamini habari kama hiyo?!​

Angalia wenzenu wanaoifahamu hiyo blog walivyoandika kuihusu:

Hoax.png

Lakini kwanini wao wanaandika hayo? Tayari wameshasema wazi kwamba:
Information contained in this World News Daily Report website is for information and entertainment purposes only....

WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
Hadi wenyewe wameandika contents zao zinakuwa na satirical & fictional nature lakini bado kabisa unaamini kinachoandikwa!!!

So, is up to you kuchagua kuwa mwerevu au kuwa victim wa satirical & fictitious contents kwa sababu tu dini yako inaandikwa vibaya!!!
 
Hakuna mtu mpumbavu kama wewe unayesema hakuna Mungu. Wewe ni lipumbavue unamkataa Mungu halafu unaabudu baali!. Nidyo sababu huyo allah wenu a.k.a baal anawaambia mkeshe mkila usiku kucha ili mzidi kuw amapumbavu na sasa anawaa mrisha hakuna kujamba!.

Mambo gani ya kuchanganua kwa allah, aka lucifer au baal? Satan hawezi kuwa Mungu na hilo halihitaji uchanganuzi!.

Na kwa haya matusi ndiyo allah alikuwa anaku recharge kwenye wanga wenu wa kukesha mnakula? Pumbaveu kweli kwlei

POVUUUUUUUUUUUUU!! Bwaha! Bwah! Bwah! Bwah!! Koh! Koh! Koh! Koh!!

Ju'ha ume-panic! Bila shaka sindano zimekuingia barabara na kuamua kukimbilia kumwaga matusi hadharani!! Ni uju'ha ulioje kushadadia habari ambayo hata wenyewe wameshasema habari zao ni satirical & fictious!

Halafu dadangu usipende matusi!!! Hivi huoni aibu mtoto wa kike unamwaga matusi hadharani?! Ndo vile tu tumefundishwa kuheshimu watoto wa kike na kwahiyo nita-assume ni stress zako za heat period na hivyo nitakupotezea!!!
 
Nani aliyetangulia kati ya Mungu na allah? Nani aliyetangulia kati ya Yesu Kristo wa Nazareth, Emanuel Alfa na Omega, na huyo mohamed wako?

Kati yao nani ni mkuu? Funguka akili mbumbumbu wewe!. Unadanganywa na uwongo uliodhahiri halafu unabakia kulinda mungu kwa matusi? Mung analindwa na wafuasi wake? allah na mohamed wanatofauti gani na viongozi wengine wa kidunia? Tofautisha!.

Huwezi kulazimisha watu waabudu unachokijua wewe kwa kuwatukana. Kwani hamli usiku kucha? Uwongo uko wapi? Kula usiku kucha ni tusi?

Kwani hamjambi mchana kutwa? Kujamba ni shida gani kwa mtu alliyevimbiwa? Unajua kuvimbiwa kitaalam ni nini? Na kujamba kunamaana gani katika maisha ya mtu mgonjwa ama mlafi? Sasa hapo!. uone allah ahtaki mjambe, atakuwa anawatakia mema kweli? Eti mkijamba mnyongwe!. Atakuwa anataka kafara zaidi huyo allah wenu.

Vinginevyo useme kwamba kujamba siyo kosa nani haki kwa wala usiku kucha ila hao walslam wanaohukumiwa kufa kwa kosa la kujamba, wanaonewa!.
Maelezo marefu yasiyo na mantiki yoyote.. Lakini sikushangai kwa vile ni team firaun.
 
We jamaa chuki zako za kijinga zinakufanya ushindwe kutumia akili kuchanganua mambo!!! Hivi mtu anayeshirikisha ubongo wake sawa sawa anaweza kuamini ujinga kama huo?!

Nawe mleta mada, usipende kuokoteza habari kwenye mitandao bila kuwa na uhakika nazo!!!Hiyo habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Moja ya habari zao tata ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Huyo jamaa ana mku.ndu mkubwa kiasi gani hadi aweze kusokomeza dude lote hilo?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
umenichekesha mkuu kwa kweli hao hta shigongo anakaa chaaa c kwa uongo huo!!!!
 
Tuna kila sababu ya kujiongeza kwa kweli, kwanza sijui kama washawahi kumuona hata huyo Allah kiasi cha kumpendelea kwa Sharia
 
Siiamini sana hii taarifa. Tujaalie iwe kweli, je kuna uhalali wowote?

Huyu bwana ni muislamu, anajua kosa la kujamba msikitini. Alishajamba mara 17! Kwenye misikiti 6!

Nasisitiza, anajua kosa la kujamba msikitini. Na alishasababisha watu 53 kukatisha sala kwasababu ya kijambo chake.

Yeye mwenyewe amekubali kosa na ameridhika na adhabu. Hakukata rufaa wala kupinga ama hata kulalamika tu mahakamani. Anajua kosa lake. Na huenda alishapewa option nyingi ikiwemo namna ya kutatua tatizo lake, ama aswali wapi. Kama ni mgonjwa, jualan imetoa muongozo ni jinsi gani mgonjwa ataendesha ibada yake.

Hivyo kabla ya kulaumu tujiridhishe kama habari ni ya kweli. Kama ni kweli tutafute sababu hasa
 
A Pakistani judge has sentenced a man to be executed after he was expelled 17 times from 6 different mosques for excessive farting during the period of the Ramadhan reports the Islamabad Herald this week.

The Ramadhan is the most important religious festival for Muslims and the judge declared that he had indisposed people of the faith and even caused 53 people at one time to leave the mosque during a prayer, a “blasphemous act” which should be punished “according to Allah’s will.”

The judge was lenient, have admitted many experts in the region, as he gave the convicted man the choice of being beheaded or stoned to death.

“The law is clear, he should be stoned to death, beheading is a very light sentence and saves him from any suffering,” protested the government prosecutor.

Deputy District Public Prosecutor (DDPP) Syed Anees Shah told reporters the accused got a “very light sentence” for the crime of blasphemy.

Muhammad Al-Wahabi, 33, suffers from chronic flatulence, “a rare medical condition” he argued in his self-defense, as no lawyer would take his case.

“No lawyer is crazy enough to bet his career on this issue. If his client his condemned, as in this case, the lawyer would face prosecution and possibly the same faith as his client” admits legal expert Andrew Jones, a Middle Eastern law expert.

Al-Wahabi did not contest the judgment and even said the judgment was fair and that he hoped Allah would be gracious enough to pardon his blasphemous actions.

Al-Wahabi also admitted that he put a tampon in his rectum several times in a desperate attempt to mask the noise and odor.

“A disgraceful and insidious act” the judge declared, visibly disgusted.

“Muslims are not allowed to insert any objects inside their anus, not even a finger, it is forbidden by the Koran,” said the judge.

“As a judge, I must set an example for other Muslims. This is clearly unacceptable under Shariah law,” he concluded.

Al-Wahabi admitted to the judge he had failed his God, his religion, and his people and was terribly sorry for what he had done, and asked for his two wives and seven children’s mercy in court and thanked the judge for his verdict. . -Agencies
Source plz
 
Back
Top Bottom