Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Sasa kama kusali kwenyewe unabinuka vile kwa nini usiachie kiyusufu?
Yaonyesha binadamu atumiavyo mamlaka yake kutesa na kuua binadamu mwenzake bila hata kujali! Hizi dini mkuu zaleta maafa bila sababu...Dini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
Enzi hizo namsoma Shigongo level za uongo wa hao jamaa hakufikia wala kukaribia... labda siku hizi cjui!!!
c ndo mana nikasema shigongo anasbr c bora hta uongo wake unakaribiana na ukweli!!/ndo haki yenyewe, kwanini utuchafulie ibada? ila kujamba sana ni ugonjwa, sasa kama mwislam mwenzetu tunamhujumu kwa ugonjwa ni taabuDini ya haki. Kujamba adhabu yake ni kifo. Haki iko wapi?
Au kununua manukato na kupulizia humo ndani.Wangempa hata adhabu ya kudeki msikiti jamani
Kweli kabisa, ukisoma kwa makini utagundua kuna chai nyingi sana kwenye hii "habari"Fake News.Huko msikitini vyoo vimejaa ni vingi,sio Ku.ja.mba tu hata kumwaga kinyesi ni ruhusa chooni,na vyoo vimo ndani ya msikiti.Hii ni miongoni mwa hizo fake news.
Kujamba huku kwa kawaida au ni kujamba kwingine?
Jamani si wameshasema ni ugonjwa, sasa kulikoni kifo kabisa..
Involuntary action, angezuiaje?
Bora wangempiga stop kwenda msikitini
A Pakistani judge has sentenced a man to be executed after he was expelled 17 times from 6 different mosques for excessive farting during the period of the Ramadhan reports the Islamabad Herald this week.
The Ramadhan is the most important religious festival for Muslims and the judge declared that he had indisposed people of the faith and even caused 53 people at one time to leave the mosque during a prayer, a “blasphemous act” which should be punished “according to Allah’s will.”
The judge was lenient, have admitted many experts in the region, as he gave the convicted man the choice of being beheaded or stoned to death.
“The law is clear, he should be stoned to death, beheading is a very light sentence and saves him from any suffering,” protested the government prosecutor.
Deputy District Public Prosecutor (DDPP) Syed Anees Shah told reporters the accused got a “very light sentence” for the crime of blasphemy.
Muhammad Al-Wahabi, 33, suffers from chronic flatulence, “a rare medical condition” he argued in his self-defense, as no lawyer would take his case.
“No lawyer is crazy enough to bet his career on this issue. If his client his condemned, as in this case, the lawyer would face prosecution and possibly the same faith as his client” admits legal expert Andrew Jones, a Middle Eastern law expert.
Al-Wahabi did not contest the judgment and even said the judgment was fair and that he hoped Allah would be gracious enough to pardon his blasphemous actions.
Al-Wahabi also admitted that he put a tampon in his rectum several times in a desperate attempt to mask the noise and odor.
“A disgraceful and insidious act” the judge declared, visibly disgusted.
“Muslims are not allowed to insert any objects inside their anus, not even a finger, it is forbidden by the Koran,” said the judge.
“As a judge, I must set an example for other Muslims. This is clearly unacceptable under Shariah law,” he concluded.
Al-Wahabi admitted to the judge he had failed his God, his religion, and his people and was terribly sorry for what he had done, and asked for his two wives and seven children’s mercy in court and thanked the judge for his verdict. . -Agencies