Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

HAHAHAHA
HAHAHAHA
HAHAHAHA
We jamaa wewe umejua kulitesa bandama langu asubuhi yote hii
ati!? kujamba jamba! dah wewe nyoko kweli HAHAHAHA
HAHAHAHA
eti usuku kucha wanakesha wanakula kama wachawi
hahahahaha
ila sio vizuri hivyo ndugu

Kwani uwongo ni upi? Unaweza kuniambia wanakulaga saangapi kama si usiku kucha? Wanaokulaga usiku ni nani kama si wanga?

Kujamba ni tusi ama ni nini? Siyo jitihada za mwili wa mtu kujikimu na majanga yatokanayo na mfumo wa chakula kutokuwa sawa? Sasa kama wanataka watu wasijambe, wamwambie allah arekebishe kama alivyorekebisha alivyomkosesha Muhamad kunena aya za shetani!.

Huo ndio ukweli. Hawa jamaa vichwani hazimo!.
 
Wewe inawezekana unahusika na kibiti , vijana wa Sirro anzieni na huyu. Halafu Mungu hatetewi kijinga ,Mungu anajitetea mwenyewe tena kwa nguvu za radio, ngurumo ,upepo na mvua. Kasome kwenye kitabu cha kutoka utaona mambo ya Mungu wa kweli

kwani hzo sheria zao nimetunga mimi
si wao wenyewe acha wamalizane tuu
mkuu hamna. namna
 
Anyongwe tu huyo anajamba jamba masjid hajui kama hapo na mahala patakatifu pa Allah
 
Kwani uwongo ni upi? Unaweza kuniambia wanakulaga saangapi kama si usiku kucha? Wanaokulaga usiku ni nani kama si wanga?

Kujamba ni tusi ama ni nini? Siyo jitihada za mwili wa mtu kujikimu na majanga yatokanayo na mfumo wa chakula kutokuwa sawa? Sasa kama wanataka watu wasijambe, wamwambie allah arekebishe kama alivyorekebisha alivyomkosesha Muhamad kunena aya za shetani!.

Huo ndio ukweli. Hawa jamaa vichwani hazimo!.
Na wewe unayeamini habari za uongo ndo una akili kweli wewe? We jamaa acha chuki za kijinga. Btw, kama wao wanakula usiku wewe kinakusumbua nini?!
 
Duh aisee kwahyo jamaa anachinjwa sabab kajamba!!!
 
ila someni vizuri vizuri
mnawahi ku comment kabla
ya kusoma anatuhumiwa zaidi ya mara 17 katika misikiti 6 tofauti tena ile ya maksudi kabisa anawakosesha watu swala
adhab tosha kabisa

Lakini sio ya kifo
 
Uislam na roho mbaya,ugaidi,akili finyu ni ndugu wa damu kabisa ingawa wenyewe wanajitahidi kupinga.
 
HAHAHAHA
HAHAHAHA
HAHAHAHA
We jamaa wewe umejua kulitesa bandama langu asubuhi yote hii
ati!? kujamba jamba! dah wewe nyoko kweli HAHAHAHA
HAHAHAHA
eti usuku kucha wanakesha wanakula kama wachawi
hahahahaha
ila sio vizuri hivyo ndugu
nyie mnataka kula mchana kama nguruwe mbona sisi hatusemi mnakula kula hovyo hovyo
 
Moderator

Ondoeni huu uchafu ambao utasababisha minyukano isiyo na lazima!!! Hii habari sio ya kweli!

Hii habari imetolewa na habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Mfano wa habari zao ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Bunduki.png

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini mashine kama hiyo inaweza kuingia kwenye tundu la haja kubwa?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
 
Basi kajitakia mwenyewe habari inasema alishafukuzwa mara 17 from 6 different mosques yeye bado akaenda tu
Ndugu yangu; huwenda hilo tatizo alilo nalo ndilo lililomfanya asikose kuhudhuria ibada. Kimsingi huyu ndiye has muumini mzuri sana wa dini yake - kutafuta neema za Mungu unapokuwa na tatizo; pengine katika shida aliyokuwa nayo aliamini uponyaji ataupata kutoka kwa Mungu wake hivyo kutokosa ibada. Sijui kama hao majaji waliliangalia japo kwa mtazamo huu kabla ya kufukia uamuzi wao! Nyumba ya ibada ndipo mahali pa kwanza pa kukimbilia unapokumbwa na janga lakini kwa wenzetu hawa wa Pakistan imekuwa kinyume. Njooni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha ....
 
Back
Top Bottom