Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

Ndugu yangu; huwenda hilo tatizo alilo nalo ndilo lililomfanya asikose kuhudhuria ibada. Kimsingi huyu ndiye has muumini mzuri sana wa dini yake - kutafuta neema za Mungu unapokuwa na tatizo; pengine katika shida aliyokuwa nayo aliamini uponyaji ataupata kutoka kwa Mungu wake hivyo kutokosa ibada. Sijui kama hao majaji waliliangalia japo kwa mtazamo huu kabla ya kufukia uamuzi wao! Nyumba ya ibada ndipo mahali pa kwanza pa kukimbilia unapokumbwa na janga lakini kwa wenzetu hawa wa Pakistan imekuwa kinyume. Njooni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha ....
Yaani na wewe umeamini kabisa hii habari ambayo mleta mada hata source hajaweka?!
 
Yaani na wewe umeamini kabisa hii habari ambayo mleta mada hata source hajaweka?!
Just Google, hiyo habari imeandikwa na media nyingi sana. Kukusaidia Google maneno haya - "Pakistani man farting" utapata zaidi ya pages 2,000,000 kuhusiana na hiyo issue. Sidhani kama zote zinaweza kuwa fake wakati hadi Jaji aliyehukumu amehojiwa.
 
We jamaa chuki zako za kijinga zinakufanya ushindwe kutumia akili kuchanganua mambo!!! Hivi mtu anayeshirikisha ubongo wake sawa sawa anaweza kuamini ujinga kama huo?!

Nawe mleta mada, usipende kuokoteza habari kwenye mitandao bila kuwa na uhakika nazo!!!Hiyo habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Moja ya habari zao tata ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:


Huyo jamaa ana mku.ndu mkubwa kiasi gani hadi aweze kusokomeza dude lote hilo?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA


Leo kuna hii habari ya Ushoga wa Kanisa katoliki huko Malta, naona jamaa kaamua kuingia Internet kutafuta habari ya uwongo na kweli ili afanye equalization. kanisa-katoliki-nchini-malta-labariki-ushoga
 
Just Google, hiyo habari imeandikwa na media nyingi sana. Kukusaidia Google maneno haya - "Pakistani man farting" utapata zaidi ya pages 2,000,000 kuhusiana na hiyo issue. Sidhani kama zote zinaweza kuwa fake wakati hadi Jaji aliyehukumu amehojiwa.
Duh! Yaani kwavile uki-Google unaikuta imeandikwa na media nyingi ndo basi tena habari ni ya ukweli!!! Yaani unazungumzia hizi blogs ambazo hazipo monitored/regulated?

Contents za online issue sio media bali ni media za aina gani!!! Chunguza hizo media unazosema zimeripoti si ajabu karibu zote ni mara yako ya kwanza kuzisikia!!

Narudia... sio habari za kweli! Hizo media nyingi unazosema zote wameichukua hiyo habari kwenye blog ya World News Daily Report. Angalia hizo media wameripoti kama zote hujakuta zimeripoti baada ya WNDR kuwa wamesharipoti!!!

Lakini kubwa zaidi, hao WNDR wameandika wazi wazi kwamba habari zao ni za kuburudisha tu! Kwa mfano, hao hao wameandika kuna gaidi amekufa baada ya kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa!! Can you believe that story?!

Humo humo kuna habari ya muhalifu ambae aliingiza silaha/bunduki aina ya M16 gerezani baada ya kuificha kwenye njia ya haja kubwa... can you believe it?!

Humo humo kuna habari ya mwanamke mmoja aliyekuwa amesomsokomeza mtoto mwenye miezi 14 kwenye K yake! Can you believe that story?!

Kwenye Post #77 nimeweka hadi link ya hiyo blog ambayo wamesema wazi habari zao ni za kuburudisha tu!!!
 
Nikitaka kupigwa kisa nilibakua sijui kiswaili chake kingine ila namini wachache watanielewa ila sidhani kama dini inakataza kujama au kubakua ila kuna wachache wana kichaa ambao hata iyo Dini awaijui wamekalilishwa tu na ndomana unaweza kukusanya vijana mtaani kuwapeleka polini kwenda kujifunza kupigania dini mwishoni wanatumwa kupita kunyang'anya mali za watu tayali wanakua majambazi
 
Sijui hapa angetoa ile ya kimya kimya alafu wakastuliwa na harufu ingekuwaje kwenye kutafuta ushahidi!?
Haya mambo kwa kizungu wanayaita 'dogma and fanaticism', kwa kifupi ni kama fikra za wa chama fulani.
 
hawa wenzetu wanapoteza sana mudaa, hii dini imejaa uhuni mwingi sanaa, ata akili za kawaida tu za kureason hawana, asee inasikitisha sanaa maana kuna watu wako radhi kufa kwa ajili ya dini ya kihuni kama hii.
Imetangulia chuki na madhaifu ya baadhi ya watu wachache wachache wenye madhaifu ya kibinadamu wenye kuitwa waislamu lakini dini ya uislamu haiko hvyo wala haiJajengwa kwA mising ya propaganda.. Mtu aliyekamilika kutoa hoja iliyosimama ana sifa kubwa ya kuwa msomi na mwenye Busara, Uislamu hauko ww unavyofikiri
 
A Pakistani judge has sentenced a man to be executed after he was expelled 17 times from 6 different mosques for excessive farting during the period of the Ramadhan reports the Islamabad Herald this week.

The Ramadhan is the most important religious festival for Muslims and the judge declared that he had indisposed people of the faith and even caused 53 people at one time to leave the mosque during a prayer, a “blasphemous act” which should be punished “according to Allah’s will.”

The judge was lenient, have admitted many experts in the region, as he gave the convicted man the choice of being beheaded or stoned to death.


“The law is clear, he should be stoned to death, beheading is a very light sentence and saves him from any suffering,” protested the government prosecutor.

Deputy District Public Prosecutor (DDPP) Syed Anees Shah told reporters the accused got a “very light sentence” for the crime of blasphemy.

Muhammad Al-Wahabi, 33, suffers from chronic flatulence, “a rare medical condition” he argued in his self-defense, as no lawyer would take his case.

“No lawyer is crazy enough to bet his career on this issue. If his client his condemned, as in this case, the lawyer would face prosecution and possibly the same faith as his client” admits legal expert Andrew Jones, a Middle Eastern law expert.

Al-Wahabi did not contest the judgment and even said the judgment was fair and that he hoped Allah would be gracious enough to pardon his blasphemous actions.

Al-Wahabi also admitted that he put a tampon in his rectum several times in a desperate attempt to mask the noise and odor.

“A disgraceful and insidious act” the judge declared, visibly disgusted.

“Muslims are not allowed to insert any objects inside their anus, not even a finger, it is forbidden by the Koran,” said the judge.

“As a judge, I must set an example for other Muslims. This is clearly unacceptable under Shariah law,” he concluded.

Al-Wahabi admitted to the judge he had failed his God, his religion, and his people and was terribly sorry for what he had done, and asked for his two wives and seven children’s mercy in court and thanked the judge for his verdict. . -Agencies
Siku moja nikitaka kupigwa kisa nimebakua sasa sidhani kama kujamba au kubakua ni kosa tatizi lililopo wengi wanakalilishwa ndomana unaweza kukusanya vijana mtani ukawapeleka polini ukawambia wanakwenya kujifunza kupigania Dini na mwisho wasiku wanajikuta wanatumwa kwenda kunyang'anya watu mali zao tayar wanakua majambazi ndo tulipo fikia huko Mungu atuongoze kuwatambua ao makanjanja aiwezekani mtu auliwe kisa kajamba sasa ile sheria yakutengua udhu imewekwa kwa ajili ya nini Mungu alijua kua kujamba sio tendo la hiyali ndomana ata ukiwa unaswali ukitokea umejaba unatakiwa ukatie tena udhu au ukanawe mana swala yako itakua batili au imetenguka
 
Hii inanipa wasiwasi ukizingatia Pakistan ni nchi yenye silaha za nyuklia halafu inaongozwa kwa mizuka ya kidini, hapo zombi moja linaweza kujitoa ufahamu na kubonyeza hayo madude ya nyuklia.
 
Hii inanipa wasiwasi ukizingatia Pakistan ni nchi yenye silaha za nyuklia halafu inaongozwa kwa mizuka ya kidini, hapo zombi moja linaweza kujitoa ufahamu na kubonyeza hayo madude ya nyuklia.
Aiwezekani kutokea nyuklia aifadhiwi kama silaha zingine au kama bunduki
 
Hii inanipa wasiwasi ukizingatia Pakistan ni nchi yenye silaha za nyuklia halafu inaongozwa kwa mizuka ya kidini, hapo zombi moja linaweza kujitoa ufahamu na kubonyeza hayo madude ya nyuklia.
Unazungumzia Pakistani ipi...ya Kashmir...!?
 
Aiwezekani kutokea nyuklia aifadhiwi kama silaha zingine au kama bunduki

Wanaohifadhi kama wote ndio hao, kuanzia kwa mlinzi langoni hadi wale waliopo kwenye vinu vya nyuklia. Maana hawatumii logics, wanaendeshwa na mihemko ya kidini, mtu wa hivyo ni hatari. Tumezoea kuwaona wakijilipua lipua kwa mabomu.
 
Umesoma hiyo habari hadi mwisho?? Hata hivyo kujamba msikitini haina adhabu isipokuwa unatoka nje kutawadha upya na unaendelea na swala yako..
 
Hawa watu wanakoelekea wataanza kufunga na sehemu za chini kwa operatioin katika huo mwezi.

Hata elimu kidogo tu yakibinadamu ahawana kabisa, halafu eti watawale dunia!. Mauti .!!!!!!!!!

Dini imewakataza watu kula mchana hadharani. WAnakula kwa kuiba iba. Halafu imewaamuru wakeshe usiku wakila kama wachawi. Usiku kucha mtu anakula na hakuna kazi anafanya zaidi ya kukesha anakula ahdi alfajiri, hivi unategemea asijambe mchana kutwa? Mbona wa huku kila mahala wakikaa ni harufu za kujamba tu?

Sasa wamekulisha usiku kucha, halafu wanazuia mchana usijambe!. Huyu allah alitakiwa awasiliane na Mungu ili ajue uumbaji wa binadamu. allah hakuumba watu ndiyo sababu anaonekana kituko. Mambo ya allah hayo!
Daaaah jamani dunia ina mambo kwa hyo Allah awasiliane na Mungu kuhusu kujamba?
 
Hawa watu wanakoelekea wataanza kufunga na sehemu za chini kwa operatioin katika huo mwezi.

Hata elimu kidogo tu yakibinadamu ahawana kabisa, halafu eti watawale dunia!. Mauti .!!!!!!!!!

Dini imewakataza watu kula mchana hadharani. WAnakula kwa kuiba iba. Halafu imewaamuru wakeshe usiku wakila kama wachawi. Usiku kucha mtu anakula na hakuna kazi anafanya zaidi ya kukesha anakula ahdi alfajiri, hivi unategemea asijambe mchana kutwa? Mbona wa huku kila mahala wakikaa ni harufu za kujamba tu?

Sasa wamekulisha usiku kucha, halafu wanazuia mchana usijambe!. Huyu allah alitakiwa awasiliane na Mungu ili ajue uumbaji wa binadamu. allah hakuumba watu ndiyo sababu anaonekana kituko. Mambo ya allah hayo!
Eti wakesha usiku wakila kama wachawi..!

Wewe ni mjinga sana..umeleta comment kwa mihemko ya chuki za kijinga unadhani hiyo kejeli wewe ndo wa mwanzo? Waliokutangulia kabla yako walifanya kama hivyo, lakini wala hakusadia kitu.
 
Back
Top Bottom