Ahukumiwa kifo baada ya kujamba msikitini

utaswalije ulikiwa una tatizo la kujambajamba ilhali unatakiwe uchukue udhu kila ujambapo
Basi kajitakia mwenyewe habari inasema alishafukuzwa mara 17 from 6 different mosques yeye bado akaenda tu
 
Hawa watu wanakoelekea wataanza kufunga na sehemu za chini kwa operatioin katika huo mwezi.

Hata elimu kidogo tu yakibinadamu ahawana kabisa, halafu eti watawale dunia!. Mauti .!!!!!!!!!

Dini imewakataza watu kula mchana hadharani. WAnakula kwa kuiba iba. Halafu imewaamuru wakeshe usiku wakila kama wachawi. Usiku kucha mtu anakula na hakuna kazi anafanya zaidi ya kukesha anakula ahdi alfajiri, hivi unategemea asijambe mchana kutwa? Mbona wa huku kila mahala wakikaa ni harufu za kujamba tu?

Sasa wamekulisha usiku kucha, halafu wanazuia mchana usijambe!. Huyu allah alitakiwa awasiliane na Mungu ili ajue uumbaji wa binadamu. allah hakuumba watu ndiyo sababu anaonekana kituko. Mambo ya allah hayo!
Kwani wewe uwa haujambi jambi?
 
Sisemi sana ila kuwa mwislam inahitaji uwe mvumilivu sana.
Umeona eee ila kua mkiristo inahitaji roho ya sime kama sio kisu maana huko makanisani wanaume wangeuzwa wanaliwa tigo na imeruhusiwa kabisa baada ya miaka mitano tutakua na mapunga wengi sana mtaani
 
Nasikia ukila 'ile kitu yetu' hujambi. Ndio maana nilikuwa sipungui kwa Mama Kamche
 
ila someni vizuri vizuri
mnawahi ku comment kabla
ya kusoma anatuhumiwa zaidi ya mara 17 katika misikiti 6 tofauti tena ile ya maksudi kabisa anawakosesha watu swala
adhab tosha kabisa
 
Hata kama.
Kifo unakijua wewe? Kisa kujamba?!
 
Hawa watu wanakoelekea wataanza kufunga na sehemu za chini kwa operatioin katika huo mwezi.

Hata elimu kidogo tu yakibinadamu ahawana kabisa, halafu eti watawale dunia!. Mauti .!!!!!!!!!

Dini imewakataza watu kula mchana hadharani. WAnakula kwa kuiba iba. Halafu imewaamuru wakeshe usiku wakila kama wachawi. Usiku kucha mtu anakula na hakuna kazi anafanya zaidi ya kukesha anakula ahdi alfajiri, hivi unategemea asijambe mchana kutwa? Mbona wa huku kila mahala wakikaa ni harufu za kujamba tu?

Sasa wamekulisha usiku kucha, halafu wanazuia mchana usijambe!. Huyu allah alitakiwa awasiliane na Mungu ili ajue uumbaji wa binadamu. allah hakuumba watu ndiyo sababu anaonekana kituko. Mambo ya allah hayo!
HAHAHAHA
HAHAHAHA
HAHAHAHA
We jamaa wewe umejua kulitesa bandama langu asubuhi yote hii
ati!? kujamba jamba! dah wewe nyoko kweli HAHAHAHA
HAHAHAHA
eti usuku kucha wanakesha wanakula kama wachawi
hahahahaha
ila sio vizuri hivyo ndugu
 
Hawa watu wanakoelekea wataanza kufunga na sehemu za chini kwa operatioin katika huo mwezi.

Hata elimu kidogo tu yakibinadamu ahawana kabisa, halafu eti watawale dunia!. Mauti .!!!!!!!!!

Dini imewakataza watu kula mchana hadharani. WAnakula kwa kuiba iba. Halafu imewaamuru wakeshe usiku wakila kama wachawi. Usiku kucha mtu anakula na hakuna kazi anafanya zaidi ya kukesha anakula ahdi alfajiri, hivi unategemea asijambe mchana kutwa? Mbona wa huku kila mahala wakikaa ni harufu za kujamba tu?

Sasa wamekulisha usiku kucha, halafu wanazuia mchana usijambe!. Huyu allah alitakiwa awasiliane na Mungu ili ajue uumbaji wa binadamu. allah hakuumba watu ndiyo sababu anaonekana kituko. Mambo ya allah hayo!
We jamaa chuki zako za kijinga zinakufanya ushindwe kutumia akili kuchanganua mambo!!! Hivi mtu anayeshirikisha ubongo wake sawa sawa anaweza kuamini ujinga kama huo?!

Nawe mleta mada, usipende kuokoteza habari kwenye mitandao bila kuwa na uhakika nazo!!!Hiyo habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
WNDR assumes however all responsibility for the satirical nature of its articles and for the fictional nature of their content. All characters appearing in the articles in this website – even those based on real people – are entirely fictional and any resemblance between them and any persons, living, dead, or undead is purely a miracle.
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Moja ya habari zao tata ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Bunduki.png

Huyo jamaa ana mku.ndu mkubwa kiasi gani hadi aweze kusokomeza dude lote hilo?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
 
Labda mahakama ilijiridhisha kuwa kitendo hicho kilikuwa cha makusudi kabisa ukizingatia rekodi yake ya kufukuzwa kwenye misikiti kadhaa kwa tendo kama hilo, na vile vile madhara yatokanayo na kitendo hicho, labda kulikuwa na ushahidi wa madhara makubwa sana yanayotokana na kitendo chenyewe.
 
JF nao siku hizi wamekuwa somba somba.uzushi, ukweli, umbeya zote kapu moja.
 
Jamani si wameshasema ni ugonjwa, sasa kulikoni kifo kabisa..

Involuntary action, angezuiaje?

Bora wangempiga stop kwenda msikitini
Usipende kuamini amini habari za kuokoteza kwenye mitandao!!!
 
We jamaa chuki zako za kijinga zinakufanya ushindwe kutumia akili kuchanganua mambo!!! Hivi mtu anayeshirikisha ubongo wake sawa sawa anaweza kuamini ujinga kama huo?!

Nawe mleta mada, usipende kuokoteza habari kwenye mitandao bila kuwa na uhakika nazo!!!Hiyo habari ilitolewa na World News Daily Report!!! Hawa jamaa habari zao wanatoa kwa kufurahisha genge tu na huwa hazina ukweli wowote na hata kwenye Disclaimer yao wameandika wazi wazi kwamba:
Na hilo angalizo hapo juu wanalitoa kwenye kila page

Moja ya habari zao tata ni pamoja na: TERRORIST WHO HID GRENADES IN ANUS DIES OF INTERNAL BLEEDING AT IRAQI AIRPORT.

Hivi kweli mtu anaweza kuficha bomu kwenye njia ya haja kubwa?! Habari kama hiyo si ingevuma sana... lakini hutaipata popote zaidi kwa hao jamaa na ukiikuta pengine, ndo kama mleta mada hapa JF... zoa zoa tu bila kutafuta uhalali wa habari husika!

Nyingine hii hapa: GANG MEMBER DIES IN PRISON AFTER SMUGGLING M-16 IN HIS ANUS

Bunduki yenyewe wanayosema jamaa aliingia nayo jela ikiwa ameificha kwenye njia ya haja kubwa ni hii:

Huyo jamaa ana mku.ndu mkubwa kiasi gani hadi aweze kusokomeza dude lote hilo?

BABYSITTER TRANSPORTED TO HOSPITAL AFTER INSERTING A BABY IN HER VAGINA
Nimeandika humu kama hiyo ni fake news.Afadhali umekuja kuniunga mkono.
 
ila someni vizuri vizuri
mnawahi ku comment kabla
ya kusoma anatuhumiwa zaidi ya mara 17 katika misikiti 6 tofauti tena ile ya maksudi kabisa anawakosesha watu swala
adhab tosha kabisa
Wewe inawezekana unahusika na kibiti , vijana wa Sirro anzieni na huyu. Halafu Mungu hatetewi kijinga ,Mungu anajitetea mwenyewe tena kwa nguvu za radio, ngurumo ,upepo na mvua. Kasome kwenye kitabu cha kutoka utaona mambo ya Mungu wa kweli
 
Back
Top Bottom