Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

jamaa kaingia kichwa kichwa kama nini vile!hawa ndo walele wasiojua hata kufupisha habari zao. Wadau hebu msaidien huyo gamba afupishe habari yake halafu aandike some senses and not nonsense!
 
CDM wanaonekana kuunga mkono vurugu na udini,ni mtazamo tu,si lazima iwe hivyo.
CCM wanafanyavurugu hata kutoleana bastola na wanachochea udini hata kwa ilani yao ya uchaguzi,ni uhalisi tu,hivyo ndivyo ilivyo.

Inahitaji hata kB 1 ya ufahamu kuona tofauti kati ya CDM na CCM.
CHADEMA ni chama cha demokrasia (uhuru wa kisheria) na maendeleo, vitu ambavyo hata taahira angependa apate wakati
CCM ni chama cha mapinduzi (vurugu,dhuruma, unyang'anyi na vita), vitu ambavyo hata wewe mtowa uzi usingependa vitokee. Kwani ni nani aliyekuroga kifikra (kama si mzee ngunge lenu) hata usibaini hata hiyo tofauti hata kwenye majina tu?
Chagua CDM kwa demokrasia na maendeleo
Ukichagua CCM ni vurugu na mapinduzi.
Asalaam aleykum.
 
Nimejaribu kusoma nimeishia njia ni nitarudi nikipata muda.
Mkuu hata mimi. mtoa mada ana maana kuwa chadema hakina mchango wowote katika maendeleo na siasa za taifa hili hata kama ina mapungufu? Ukweli pia unampa mtu heshima!
 
kaka mimi ni mwana CCM lakini naona umekidharilisha chama chetu mkuu, huo ujumbe ulioandika umeandika kama wewe na personality yako, Sio kama kiongozi wa ccm Bcoz sisi viongozi wapya wa CCM hatunaga umbea kama wako. Tupo kikazi zaidi Kuitoa ccm kwenye makundi na umbea kwa kuwambia wengine magamba na wengine sio magamba Tumeshinda uchaguzi wa uvccm na UWT ,munasingia tumetoa Rushwa , Shame on you. mutakoma mwaka UUUU subirin NEC na uwakilishi wa Wazazi.

jangakuu@yahoo.com
 
najuta kupoteza muda wangu kusoma utumbo huu usioeleweka hata ni wa mnyama gani!!! ndg, tuna mambo lukuki ya kufanya, tunaokoa na tunajali muda!!!! haiwezkani CDM ikusumbue namna hii, km vp jinyonge tu mkuu!!!!
 
Yaani pro chadema umewaweka njia panda manake umetukana waislamu(wamefurahi) na umemshukia Padri slaa(wamechukia).Wengine watapita kimya
 
Unaleta upuuzi mwingi kwenye masuala yanayohusu imani za watu,ni kweli serikali haina uwezo wa kutosha kugharamia uendeshaji wa mahakama ya kadhi,sasa inapata wapi uwezo wa kushirikiana na wakristo kuendesha hospitali na shule hata kama waislamu hawana shule na hospitali,sasa unadhani waislamu watasema kuna usawa?

we gandagumu kama jina lako linavyokutafsiri acha kuwa na fikra ndogo za kufikiri kama panzi. hvi kwa mfano hospital za wakristo mf. KCMC,shule za wakristo mf. KCMUCO pale hakuna wagonjwa,wauguzi,madokta, wanafunzi even malecture waislamu? sasa njoo kwenye hiyo mahakama ya kadhi itawahusu vp wakristo?jaribu kufikiri mkuu acha kutumia masaburi kufikiri. so unaweza kuona ni vp serikali imefanya uamuzi sahihi wa kuwachinjilia baharini kwa sababu nyinyi ni WABINAFSI MWAJIWAZIA NYINYI TUU. kweli nyinyi ni janga la kitaifa nimeamini kwa sababu akili zenu za madrasa ndo zinavyowatuma.
 
Lakini mbona madhaifu ndani yenu hamtaki kuyafanyia kazi badala yake mnakalia kuyashughulikia kupitia PC!
 
Nimejaribu kusoma nimeishia njia ni nitarudi nikipata muda.
naomba msamaria asome atoe summary mm nimeshindwa!


du kazi kweli kweli...hapa napita tu
Loading.....

Hii ndio sample space ya baadhi tu ya wana CDM damu damu, ambao wakiambiwa waandamane hata usiku wa manane- wataandamani- bila kujua wanaelekea wapi.

An uneducated/ uninformed mind will always reject reasoning and is fit for all grasses to grow.

 
Back
Top Bottom