REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 947
Mwandishi wa makala hii ni Katibu Msaidizi, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ya CCM. Anapatikana kwa Simu Na. 0659 220 220 na 0762 633 244Na Charels Charles
Yani huyu pamoja na kuwa wakimataifa haoni tatizo la RAISI kuteua MUFTI.
Mh! kama katibu msaidizi ni wa hivi ndio maana chama kiko hivyo kilivyo.Maana
akili yake inamtuma nani ana muda wa kupoteza kusoma mimaandishi yote hiyo!