MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
muambie aandike kiinglish, nadhani ndo lugha wanayotumia chuoni. Kiswahili kigumu sana.
Mkuu kama lugha ya mama ngumu hiyo ya kuiga itakuwaje?
muambie aandike kiinglish, nadhani ndo lugha wanayotumia chuoni. Kiswahili kigumu sana.
:embarassed2::canada: watu bwana mbona mna mdiss kijana wa watu, kajipatia pembe nne zake nyie mpo mnazunguzia ma sentesi yatamsaidia nini? Kijana tangaza ndo usichelewi mi mtu humu itakuwahi, Elimu isiwe tatizo kukutanisha na mkeo mtarajiwa. Ongeraaaaa mwanaume usisikile maneno ya watu...:A S 465::rant:
muambie aandike kiinglish, nadhani ndo lugha wanayotumia chuoni. Kiswahili kigumu sana.
kwani hujui kama wako kwenye mgomo