Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
Kwa macho madogo tu ya kawaida kabisa mikoa tajwa hapo juu ndio mikoa tajiri Tanzania, na ndio mikoa yenye wananchi wanaojitambua zaidi hapa Tanzania!
Ni wakati wa Mabadiliko! Walielewa na wakaamua!
Ahsanteni wana DSM! Ahsanteni Kilimanjaro! Ahsanteni Arusha!
Segerea, Ilala na Kigamboni ni uzembe fulani, lakini mlionyesha mpo very serious na mabadiliko! Wakati mwingine dhamira yenu itatimia!
What a cheap point !!

Acha waipende watukomae sisi wa dsm, kilimanjaro na arusha! Statistics za kiuchumi zinaonyesha uchumi mkubwa upo kaskazini na dsm! Sasa nyie huko endeleeni kutukomoa. Sawa eeehhhh!Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
Dodoma, singida, shinyanga, ruvuma kuna shida kubwa mno. Ila pia ni wizi tu siamini kama ccm imeshinda huku. Maana asilimia ukijumlisha zinakuja zaidi ya100
Mkuu Kigamboni, tutalirejesha muda si mrefu. Sheria ya uchaguzi ilipindishwa kwa kurudia kuhesabu kura tofauti na kituoni zilipopigiwa.
UKAWA inashinda tar.25 mapema sana. Unajua nyie ni wapumbavu sana. Kuna maeneo mengi mlisema ni ngome ya UKAWA, huko Mbeya mmeangukia pua, I thought ni ngome ya ukawa...Dodoma, singida, shinyanga, ruvuma kuna shida kubwa mno. Ila pia ni wizi tu siamini kama ccm imeshinda huku. Maana asilimia ukijumlisha zinakuja zaidi ya100
Kweli mazwazwa hawawezi kuisha
Mkuu Kigamboni, tutalirejesha muda si mrefu. Sheria ya uchaguzi ilipindishwa kwa kurudia kuhesabu kura tofauti na kituoni zilipopigiwa.
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
Wewe kweli hamnazo kwanza unaishi wapi mbulula wewe