FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,022
- 47,116
Ushauri wenu tafadhali.., mshahara wa kwanza niufanyie nini eti..?!
Ushauri wenu tafadhali.., mshahara wa kwanza niufanyie nini eti..?!
mshahara wa kwanza kalewee..
Miss yuu kabanga...wewe una wazazi, una muamini mungu....?
Hahahaaaaaaa shem bhana kumbe na wewe mkorofi.....we ulifanya hivo??
me niliulipia madeni..
hahahaaaa majanga unazindua kwa madeni...