jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Umlinde dhidi ya malaika wema,
Usimuepushe na mabaya, usiusikilize unafiki wake bali usimuokoe dhidi ya yule muovu.
Kwa kuwa amejitangazia uungu hapa duniani kama baali, amewatesa haiyumkini wacha MUNGU.
Kwa kuwa ufalme sii wake wala nguvu hana, na utukufu sii wake.
AMEN.