Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Ahsante Mungu kwa kutupa Rais Magufuli

Usilete ujinga wako hapa ukidhani kila mtu ni mjinga kama wewe. Sema alichosema akiwa bandarini.
 
Mtoa mada umekurupuka bila ya tafakari ya kina, na wewe ni mmojawapo ya watu wanaoiharibu nchi hii kwa tabia ya kusikia na kukurupuka kutenda jambo bila ushauri stahiki!
 
Wananchi wanalia njaa miaka yote,Kuna watu hawataki kujishughulisha Kabisa wapo kila mtaa wa nchi Hii wataacha kulia njaa?,au we mmojawapo?,. USA inaitwa Land Of Opportunity ila ina omba omba zaidi ya mil 2 wanalala chini ya madaraja,Waweza ilaumu serikali yao?.. Fanyeni kazi na kuwa mbunifu kijana,zama zimebadilika sana.
Hao wanaolala chini ya madaraja wanakuwaga na matatizo ya akili au watumiaji wa madawa ya kulevya. Kwa Watanzania tunaweza kusema kuzidi kuipigia kura CCM ni kama matatizo ya akili au kutumia madawa ya kulevya.
 
Kiukweli ukimsikiliza Magufuli you can understand the task ahead of this country. Iam sorry to say, politics aside, Magufuli is the real deal. Now I understand why fat cats and other middle classes hawaishi kulia eti jamaa anaua uchumi. Kwa njia hii wajipange upya.

Asante Magufuli.
 
Hao wanaolala chini ya madaraja wanakuwaga na matatizo ya akili au watumiaji wa madawa ya kulevya. Kwa Watanzania tunaweza kusema kuzidi kuipigia kura CCM ni kama matatizo ya akili au kutumia madawa ya kulevya.
UKAWA na BAVICHA ndo mmegeuka kama hao wenye matatizo ya akili,kutwa nzima kulialia njaa na ajira serikalini,endelea kusubiri maana JPM ndo Raisi na Amiri Jeshi mkuu for next nine years,kama hutaki kunywa sumu au hama nchi.Tupo wengi tunaokubali kazi anayofanya.Wapuuzi wachache na watetea mafisadi mliobaki,na mpaka 2020 mtabaki 4%,time will tell.
 
Wanajamvi nimemaliza kuangalia marudio ya kipindi chaMagufuli ITV akiwa bandarini akiongea na wafanyakazi, nimemsikiliza kwa makini sana, pamoja na kazi nyingi nzito na za hatari ambazo amekwisha pambana nazo, nimefikia hatua yakumkubari sana huyu kiongozi.

Hakika ni mtu aliyetumwa na MUNGU. Nchi yetu tulikuwa tumefika pabaya mno, taratibu heshima inarejea.

Hakika tupo pamoja na ww kila hatua.Mungu azidi kukulinda nasi dua zetu zinakukinga na kila hira za wanafiki wako.
Amen
 
Ila akumbuke kuna maskini huku kawatelekeza tangia alipotoa tamko lake mpaka leo hajasema chochote na siku zinaenda.
Huenda kasahau kwa sbb ya sherehe za uchaguzi.
Mkumbushe kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Wanajamvi nimemaliza kuangalia marudio ya kipindi chaMagufuli ITV akiwa bandarini akiongea na wafanyakazi, nimemsikiliza kwa makini sana, pamoja na kazi nyingi nzito na za hatari ambazo amekwisha pambana nazo, nimefikia hatua yakumkubari sana huyu kiongozi.

Hakika ni mtu aliyetumwa na MUNGU. Nchi yetu tulikuwa tumefika pabaya mno, taratibu heshima inarejea.

Hakika tupo pamoja na ww kila hatua.Mungu azidi kukulinda nasi dua zetu zinakukinga na kila hira za wanafiki wako.
acha kutaja jina la Mungu bure
 
Kwa Magufuli kila goti litapigwa
Anaye pigiwa ni Mungu tu na siyo binadamu.
Hata km ww anakupa hela ila siwezi kumpigia goti binadamu mwenzagu
Kwa mujibu wa maelezo ni sawa na kumuobudu mr. Padlock
Nitampigia Yesu wangu sabb tangia kuzaliwa kwangu hajawahi kunisaliti lkn Padlock alishatusaliti aliposimamisha ajira na alipotoa fao la kujitoa
Muombe sana Mungu wako akusaidie na akupe busara ktk kufikiri na kutenda yanayompendeza Mungu
Mungu tu ndiye kila mtu atampigia goti hata km mpangani sbb Mungu hawezi kumsaliti mtu yyte

U
 
UKAWA na BAVICHA ndo mmegeuka kama hao wenye matatizo ya akili,kutwa nzima kulialia njaa na ajira serikalini,endelea kusubiri maana JPM ndo Raisi na Amiri Jeshi mkuu for next nine years,kama hutaki kunywa sumu au hama nchi.Tupo wengi tunaokubali kazi anayofanya.Wapuuzi wachache na watetea mafisadi mliobaki,na mpaka 2020 mtabaki 4%,time will tell.
Siyo kila mtu asiyependa umbumbu wa serikali ya CCM ni UKAWA au BAVICHA. Nashangaa kila Rais wa CCM anajinadi kuwa anapigana na mafisadi, na miaka yote hiyo CCM inatawala. Mtu mwenye busara anakuwa haelewi hao mafisadi wana nguvu za giza au ndio CCM wenyewe?
 
Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.

Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.

Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...

Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.

Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.

Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.

Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.

Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.

Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.

Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.

Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.

Sote tuseme ""amen""
 
Sala muhimu “Ee Mungu wangu ulie Mtakatifu. Ninakuja mbele zako. Mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizokukosea katika maisha yangu. Ninatubu kweli. Naomba damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yangu initakase sasa katika roho yangu na nafsi yangu na mwili wangu. Nimefungua moyo wangu. Bwana Yesu Kristo nakukaribisha ndani yangu. Ingia kwa uwezo wa Roho wako – uwe Bwana na Mwokozi wangu kuanzia sasa na siku zote. Ahsante kwa kunisamehe na kwa kuniokoa. Nimejitoa kwako nikutumikie katika siku zote za maisha yangu. Shetani hana mamlaka tena juu yangu katika jina la Yesu Kristo. Amina.
 
Back
Top Bottom