Mwaka huu mpaka mtagonola ili mpigwe kwa ajili ya teuzi!!Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.
Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.
Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...
Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.
Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.
Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.
Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.
Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.
Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.
Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.
Sote tuseme ""amen""
Co mie
Kama huna cha kukoment,unaacha tu.MSIMUHUSISHE MUNGU NA MAMBO YA KIJINGAJINGA
Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.
Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.
Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...
Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.
Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.
Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.
Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.
Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.
Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.
Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.
Sote tuseme ""amen""
Kikombe kipi mkuu?Kama unafikiri unaomba peke yako ongera. Watanzania walio wengi wanamuomba Mungu awaondolee kikombe hiki kama hujui.
Amen....Mungu endelea kumtia nguvu Rais wetu mpendwa aendelee kutenda mazuri mpaka UKAWA washangae na kuishiwa pumzi zaidi.Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.