Uko sahihi Mungu ampe hekima na busara maana huyu jamaa hana hekima wala busaraKweli Mungu ampe busara na hekima.
Unaposema taifa zima una maanisha nini???Amen...taifa zima tunakuombea...
Namaanisha watanzania wote waishio ndani na nje ya nchi kutoa 1% ya mafisadi, vibaka na wakwepakodi.Unaposema taifa zima una maanisha nini???
Mungu yupiKwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.
Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.
Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...
Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.
Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.
Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.
Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.
Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.
Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.
Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.
Sote tuseme ""amen""
Wasema ww...Uko sahihi Mungu ampe hekima na busara maana huyu jamaa hana hekima wala busara
Hakuna namna...kama ana makosa,ashughulikiwe tu.Cha maisha magumu....kukomoana...na u.dikteta uchwara!!! Unajua mmiliki wa jf alifungwa juzi kwa ajili ya anawalinda wanaotaja maovu ya serikali ya ccm??? Ivi jf ingefungwa ungeweza kuandika huu upuuzi wako hapa wewe mtoto??
Mm c mtt,me mkubwa mwenzio.Cha maisha magumu....kukomoana...na u.dikteta uchwara!!! Unajua mmiliki wa jf alifungwa juzi kwa ajili ya anawalinda wanaotaja maovu ya serikali ya ccm??? Ivi jf ingefungwa ungeweza kuandika huu upuuzi wako hapa wewe mtoto??
Usiyemjua wwMungu yupi
Labda huyu mungu wa Dsm (Kondakta) ndio anaweza kujibu huu upuuzi!!Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.
Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.
Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...
Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.
Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.
Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.
Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.
Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.
Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.
Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.
Sote tuseme ""amen""
Labda Makonda...nasikia naye ni mungu! Hivi asiyejaribiwa kumbe naye anahitaji maombi!Mungu yupi
Kwa niaba ya wanachama wote wa Jf,wanaokupenda na wasiokupenda,wanaokukubali na wasiokukubali.
Naomba niitumie fursa hii adhim, kukuoombea na kukukabidhi mikoni mwa Mungu aendelee kukulinda na maadui na akupe afya njema ili safari yako ya kuileta Tanzania mpya uitimize.
Tuinamishe wooote vichwa vyetu na niombe...
Baba katika jina la Yesu, usiku huu wa sasa,naomba nimkabidhi mjoli wako, rais wetu mpendwa Mh.Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
Ukamfunike vyema na damu ya mwana wako Yesu Kristo aliye hai,umwepushe na hila na nguvu zote za sheta maana najua ndani mwako shetani hana mamlaka.
Washindwe wote wanaomwombea mabaya,na hata hawa watakaoikosoa sala hii maalumu.
Zaidi uilinde familia yake, baraza lake la mawaziri, uwape wote hekima na busara ili wapate kumshauri vizuri kila mara kama walivyofanya tangu amekabidhiwa nchi hii.
Umjalie maono makubwa zaidi ya hapo sasa, ili siku sote tushuhudie ushindi uliotukuka katika kutuletea tanzania mpya uliyomwahidi ww mwenyewe.
Kibariki chama cha mapinduzi anachokiongoza yy,wabariki viongozi wa chama waliochini yake,uwape hekima na busara
katika kuhakikisha wanamuunga mkono katika utekelezaji wa ilani ya chama.
Wabariki pia wanachama wa chama cha mapinduzi,watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama.
Mwisho ibariki tanzania yetu,ijalie amani iendelee kutamalaki siku hadi siku kama ulivyotenda siku zote.
Sote tuseme ""amen""
Lazima utakuwa mshiriki wa Mzee wa viroba.
Kila mtu angeomba hii kwa kumaanisha, mabadiliko makubwa yangetokea! Hakika!Sala muhimu “Ee Mungu wangu ulie Mtakatifu. Ninakuja mbele zako. Mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizokukosea katika maisha yangu. Ninatubu kweli. Naomba damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yangu initakase sasa katika roho yangu na nafsi yangu na mwili wangu. Nimefungua moyo wangu. Bwana Yesu Kristo nakukaribisha ndani yangu. Ingia kwa uwezo wa Roho wako – uwe Bwana na Mwokozi wangu kuanzia sasa na siku zote. Ahsante kwa kunisamehe na kwa kuniokoa. Nimejitoa kwako nikutumikie katika siku zote za maisha yangu. Shetani hana mamlaka tena juu yangu katika jina la Yesu Kristo. Amina.
Mkuu rudia kuusoma uzi vzr.Thread nzuri ila kama kawaida kila kizuri hakikosi kasoro.Thread haina utaifa umeingiza ccm kwenye maombi.Watanzania wote ni wanaccm?
Kamtesa nani kwa mfano?Mungu hadhihakiwi.....Unaombea dikteta, mtu anayefurahi nafsini mwake kutesa raia?