Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu
Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine
TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
OUT pekee ndio wanatoa foundation course,tafuta habari mpyaKaka Hongera, Lakini Awamu hii ya Profesa Ndalichako kafuta hiyo kitu, Kwahiyo umepigwa.
Huwezi kusoma shahada chuo kingine zaid ya OUT.OUT pekee ndio wanatoa foundation course,tafuta habari mpya
Huwezi kusoma shahada chuo kingine zaid ya OUT.
We ni wa kusoma hapohapo OUT. Vyuo vingine labda ujaribu MastersOUT pekee ndio wanatoa foundation course,tafuta habari mpya
Acheni kukariri mambo! Wana ruhusiwa omba chuo chochote kile baada ya kufaulu iyo foundation.Huwezi kusoma shahada chuo kingine zaid ya OUT.
We ni wa kusoma hapohapo OUT. Vyuo vingine labda ujaribu Masters
Sina lengo la kubishana.OUT pekee ndio wanatoa foundation course,tafuta habari mpya
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu
Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine
TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
Hiyo foundation course unasomea wapi,tujuzane
Huwezi pata medicine kwa foundation sahau kabisa nenda kaomba kozi za general scienceAwali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu
Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine
TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
Ualimu mhimu mkuuAwali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu
Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda kusomea doctor of medicine
TCU funguen dirisha mapema tufanye yetu
Aisee tunaruhusiwa kusoma Chuo chochote ninachokitaka na ndo muongozo unavyosema